Pre GE2025 Wito kwa wanachama wa CCM wote humu jukwaani kuelekea uchaguzi mkuu 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Yale yale ya "lugha yenye staha"; wakati huo huo mnajitangaza nyinyi ni 'Vyura Kiziwi'. Mtashindwa vipi kuona mkanganyiko hapo!
sasa mimi kua na mawazo au maoni tofauti na yako ndio upate mihemko hasira na ghadabu? itasaidia nini sasa kama sio kujitambulisha kua umefikia ukomo wa mawazo mapya na huna fikra mbadala dhidi ya mawazo ya mwingine 🐒
 
sasa mimi kua na mawazo au maoni tofauti na yako ndio upate mihemko hasira na ghadabu? itasaidia nini sasa kama sio kujitambulisha kua umefikia ukomo wa mawazo mapya na huna fikra mbadala dhidi ya mawazo ya mwingine 🐒
Siyo swala la "kuwa na mawazo tofauti"; ni ujinga wa mawazo yenyewe na jinsi unavyo ng'ang'aniza hayo mawazo yako.

Kwani kuna wangapi humu walio na mawazo tofauti, lakini tunajadiliana vizuri juu ya hayo mawazo!
Haya ya kwako ni ya kipumbavu, ndiyo maana.
 
sasa kama mawazo na mtazamo wangu uko hivyo,

mbona ni rahisi tu,
weka maoni na mtazamo wako ulio bora zaidi ya wakwangu na mambo yasonge...

sasa mihemko, hasira na ghadabu ndio mbadala wa maoni na mtazamo wangu?🤣

hiyo ni useless na ni nonsense gentleman 🐒
 
EEEeeeenHEEEeeeee!
Hiyo 'nonsense' inanikumbusha yule profesa wa kilimo wakati ule kuhusu swala la sukari, eeeenHeeeee!

Sina sababu ya kuweka chochote, nilikwisha kueleza wewe bayana humu toka mwanzo nilipo tambua ajenda yako ni nini hapa; kuwa sitaacha uendeleze ujuha humu bila kujibiwa.
Na ni kazi hiyo hiyo ninayofanya sasa hivi.

Ukinionyesha dalili za kuwa na akili tofauti na hiyo, sina sababu hata moja ya kuendelea na wewe. Lakini unapokuja hapa na kupotosha watu, na kuwadhihaki waTanzania, kamwe siachani nawe.

Nimekukumbusha, kama ulikuwa umesahau.
 
tatizo lako ni dogo sana,

Imani potofu..

ukiachana na hiyo wewe ni miongoni mwa wananchi makini sana, rekebisha hiyo hali tafadhali ili urudi katika hali yako ya kawaida gentleman 🐒
Nasisitiza, uchaguzi Tanzania ni sehemu ya kuanika ujinga wa watu. Ushiriki miaka zaidi ya 30 huku chama kimoja kikiwa ni wasimamizi wahesabu kura, na huku wakifanya uhuni wa wazi. Uchaguzi wa 2020 ulikuja kuweka mpaka wa kutoendelea kushiriki chaguzi za kishenzi.
 
hasara na majuto ni Juu yako mwenyewe ukisusa 🐒
 
Wazalendo Bado tunahitaji kurudisha bandari zetu zilizouzwa na CCM!!
 
Hilo halina shaka hatuna tume huru wala katiba itakayofanya upinzani ushinde..
 
Wadau hamjamboni nyote?

Kichwa cha habari chahusika hapo juu

Wekeni kumbukumbu ya Uzi huu
Niwatakie sabato njema
Sasa mbona hilo liko wazi! Hata ikitaka kushinda kwa 200% inaweza tu.

Kama Mwenyekiti na mkurugenzi wa tume inayotangaza matokeo, pamoja na Mkurugenzi wa Halmashauri ambaye anasimamia huo uchaguzi; wote kwa pamoja wanateuliwa na Rais mwenye kofia ya Mwenyekiti wa chama tawala! Hivi inawezekana kweli wakaenda kinyume na matakwa ya Bosi wao!!

Tuache utani bhana! Kwenye hii nchi hakuna uchaguzi.
 
Mbona hilo tunalijua?
Kwa hii Tume Fake ya uchaguzi,Vyombo vya Ulinzi na Usalama kwa nini CCM isipite?
Tangu mfumo wa vyama vingi uanzishwe,CCM haijawahi kushinda kwenye sanduku la kura.
 

Udumu umasikini na ujinga! ndiyo unasema. Kama uchaguzi ni wa Polisi na Usalama wa taifa badala ya wananchi hata 100% INAWEZEKANA maana ni uchaguzi kama wa 2020 ilikuwa maigizo tu hata data huwezi kuzijumlisha.

Tupende nchi kuliko huu ujinga ujinga wa vyama ambavyo wanufaika ni wachache wakina Kikwete, Samia na hizo familia za Mwinyi na sio nchi. Nchi inahitaji katiba mpya
 
Ila wengine lazima kibali na kinafutwa au kuzuiliwa tukio lililoombewa kibali bila sababu wala maelezo toshelezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…