Wito kwa watanzania wote: Ili CCM na serikali zake wajue hatuwataki, 2025 wote tususie uchaguzi bila tume huru ya uchaguzi

Msimamizi ni Mkurugenzi,huwezi ku-challenge matokeo mpaka mshindi atangazwe,wewe unakwenda kuchagua,aren't you stupid really.Hivi Mkurugenzi anaweza kwenda kinyume na Mwajiri wake kweli.Wewe ni li-CCM,unapotosha watu.
 
Huna takwimu za kisomi....

Takwimu mtambuka umefanyia wapi ?!!!

Research methodology" yako ni ipi ?!! [emoji15][emoji15]
CCM hawazidi 8 million mkuu.Tena sio wote ni active members.Figure hii nimepata kwa kiongozi wa CCM.
 
CCM hawazidi 8 million mkuu.Tena sio wote Ni active members.Figure hii nimepata kwa kiongozi wa CCM.
[emoji15][emoji15][emoji1787]

Unajidanganya mkuu...

CCM ina wanachama zaidi ya hao...

Na wasio na vyama wengi huichagua CCM....

Wana sababu nyingi mtambuka....

CCM imeweza kuituliza nchi...

Wananchi wana UTULIVU...

Wananchi wana AMANI....

Wananchi wana USALAMA...

Hata kama wengi wao hawana ELIMU kubwa....ila wale walio wafuatiliaji wa mambo husikiliza VIPINDI vya IDHAA YA KISWAHILI YA BBC ,IDHAA YA KISWAHILI YA UJERUMANI DW ,IDHAA YA KISWAHILI YA MAREKANI NA JAPAN...

Humo wanaelewa yaendeleayo JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA KONGO....

Ugaidi uliopo SOMALIA...

Ugaidi wa BOKO HARAMU kule Kaskazini mwa Nigeria.....

Vita vya Sudan.....uroho wa madaraka wa akina Hemeti na wenzake....

Vita vya kikabila vilivyotokea ETHIOPIA ya ubaguzi wa KIMAJIMBO.....

Watanzania wanajua vyema kuwa WANASIASA huyataka maslahi yao hata kuweza kutumia DAMU ZAO....

Watanzania si WAJINGA si WAPUMBAVU....

Mathanzua bwanaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hakika [emoji2956]
 
Kupata vichekesho kama hivi tunatumia website gani? 😂😂
 
Taja kazi aliyoshindwa tuanzie hapo bwana issue
 
Sina sababu ya ya ku-doubt takwimu za CCM zinazoka kwa kiongozi wa ngazi ya juu ya CCM.
Za CCM zitoke kwa viongozi wao...tusiziamini ?!![emoji15][emoji1787][emoji1787]

Zako zitoke kwako tuziamini ?!! [emoji15][emoji15]

Umetumia METHODOLOGY ipi ??!!

TOOLS zipi kusema kuwa watanzania hawaitaki CCM ?!!!![emoji15][emoji1787]
 
Kupata vichekesho kama hivi tunatumia website gani? 😂😂
Hamna jema,ukigogwa usoni unadai link,ukiletewa link,ume-copy na ku-paste.Ninyi nikuwa-ignore tu,mwenye akili anaina logic,mbona ujinga wa CCM upo wazi.
 
Za CCM zitoke kwa viongozi wao...tusiziamini ?!![emoji15][emoji1787][emoji1787]

Zako zitoke kwako tuziamini ?!! [emoji15][emoji15]

Umetumia METHODOLOGY ipi ??!!

TOOLS zipi kusema kuwa watanzania hawaitaki CCM ?!!!![emoji15][emoji1787]
Nonsense.
 
Haya yote ni kweli kabisa mkuu,no wonder mambo hayaendi kwa sababu ya upuuzi wa namna hii.Sasa tuungane basi,ili hatimaye tuwaondoe CCM madarakani.
 
Unawajua ccm unawasikia, nakwambia watapiga kura hata za maruhani na wataweka wagombea hata majini, usiwachukulie poa kabisa
 
Unawajua ccm unawasikia, nakwambia watapiga kura hata za maruhani na wataweka wagombea hata majini, usiwachukulie poa kabisa
Sawa,sisi tukae nyumbani,mbona maruhani hayaonekani?Tusipokwenda watajistukia mkuu,na uovu wao utakuwa dhahiri.
 
Mtashangaaa kura zenu mmepigiwa
Mnawajuwa chichiem nyie [emoji1]

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…