Wito wa Kujiunga na Mafunzo ya JKT kwa Kujitolea Mwaka 2024. Kazi kwenu!

Wito wa Kujiunga na Mafunzo ya JKT kwa Kujitolea Mwaka 2024. Kazi kwenu!

Kalaga Baho Nongwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2020
Posts
9,953
Reaction score
23,150
Wazee niaje

Jkt yazindua goma jipya 2024, mchakato wa maombi kuanza mosi 2024, oktoba.

Mshindwe ninyi tu!

JKT 1.PNG

JKT 2.PNG
 

Attachments

Hapo ni sawa na kupoteza muda tu! Kwenda kuumia kisha urudi kitaa maisha yaendelee kukufua vizuri. Yaani unajitolea halafu JKT haitofanya lolote katika jitihada za kukusaidia kupata kazi ila utarudi ujiajiri! Pumba za kiwango cha lami
 
Back
Top Bottom