Ambivert88
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 3,609
- 6,388
Hivi umri wa kijana mwisho miaka mingapi maana hawa mafala (ashakum sio matusi) hawachelewi kusema umri ni miaka 18-23 au 18-25 kwa hio kuanzia miaka 26 kuendelea ni wazee?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umri wa kijana unaishia miaka mingapi wanaandika tu vijana vijana wasema na umri huo wa vijana wanaowahitaji mimi nijuavyo kijana umri unagota miaka 45 hapo ndio mwisho wa kijana, sasa wapo tayari kupokea wakulugwa wenye umri huo?Team jakarta, vijana mkapambane, mkalitumikie taifa
Haha mkuu nikawaida hata wewe ukifanikiwa lazima tukuzushie hata kama Kuna ukwelMkuu hiyo avatar sasa hivi inatisha.
pita uko kitambooo
Majeshi ya wenzetu hata mpaka 42 wanaweza kukuchukua if uko fiti. Lakin ifike mahali ujue kuwa kila nchi ina vigezo vyake. we all know vijana wanao hitajika jeshini.Umri wa kijana unaishia miaka mingapi wanaandika tu vijana vijana wasema na umri huo wa vijana wanaowahitaji mimi nijuavyo kijana umri unagota miaka 45 hapo ndio mwisho wa kijana, sasa wapo tayari kupokea wakulugwa wenye umri huo?
ukihitajika utaitwa... familia ya mama kizimkazi na hapa ipo... vijana nendeni mkalime tena nyie wenye diploma sjui degree ngoja mwende af mrudi mnalia kwamba hamjaajiriwa.... subirini wanaorudi mwaka huu mjioneeWazee niaje
Jkt yazindua goma jipya 2024, mchakato wa maombi kuanza mosi 2024, oktoba.
Mshindwe ninyi tu!
View attachment 3107340
View attachment 3107341
Una miaka mingapiNijitoe nikawapikie au.? Mimi nishavuka huko umri umeshaenda...naulizia kwa ajili ya vijana wengine mkuu
Hizo saa hapo bunju hazijambo?ukihitajika utaitwa... familia ya mama kizimkazi na hapa ipo... vijana nendeni mkalime tena nyie wenye diploma sjui degree ngoja mwende af mrudi mnalia kwamba hamjaajiriwa.... subirini wanaorudi mwaka huu mjionee
Kigezo cha umri ni kuanzia ngapi?Nijitoe nikawapikie au.? Mimi nishavuka huko umri umeshaenda...naulizia kwa ajili ya vijana wengine mkuu
Bado jkt ni advantages, kisirisiri. application za wengi waliopota jkt zilikubaliwa zaidi polisi kuliko za wale waliopita kiraiaBungeni wakubwa walisema kigezo cha kupitia JKT kiondolewe katika vigezo vya kuajiriwa majeshini target yao kubwa ili iwe rahisi kupitisha watoto wao kwahiyo sisi tutakaojitolea kwenda JKT huenda tukaambulia kwenda kulima tu
Hii ni kweri japo nashauri tu kama mtu unamchongo wako mtaani endelea tu kupambana usiende JKT maan kule unakaa tu kama mskule hujui ni lini watakuja kufanya usaili upo tu na kama wakija hujui kama utapata japo umewalimia mashamba yao USIENDE jkt kama huna mtu mkubwa nyuma yako anaekushika mkono utajilaumu sana baadae ni bora ukomae na ajiraportal huku huenda ukapiga interview siku ukatoboaBado jkt ni advantages, kisirisiri. application za wengi waliopota jkt zilikubaliwa zaidi polisi kuliko za wale waliopita kiraia
Kule hawakai kama msukule. Once again unatakiwa ujue jukumu la jkt ni nini? Ajira hata mtaani hazitabiriki so mazingira yako neutralHii ni kweri japo nashauri tu kama mtu unamchongo wako mtaani endelea tu kupambana usiende JKT maan kule unakaa tu kama mskule hujui ni lini watakuja kufanya usaili upo tu na kama wakija hujui kama utapata japo umewalimia mashamba yao USIENDE jkt kama huna mtu mkubwa nyuma yako anaekushika mkono utajilaumu sana baadae ni bora ukomae na ajiraportal huku huenda ukapiga interview siku ukatoboa
Kule hawakai kama msukule. Once again unatakiwa ujue jukumu la jkt ni nini? Ajira hata mtaani hazitabiriki so mazingira yako neutral
Kwenda jkt sio uhakika wa ajira, but inakupa advantages zaidi