Mijadala Migumu
JF-Expert Member
- Apr 17, 2022
- 380
- 422
Vipi kwenye bajaji kajipata au bado anawaza majeshiKuna mate wa primary, yeye aliishiaga 4m 4, akaenda huko JKT.
kakaa huko kambiniii miaka 4, karudi kitaa hana jipyaa wala ramani.
Afu kwao ni apeche alolo, walitegemea yeye atusue awe mkomboz
Sahivi ni Dereva Bajaji, ila ukikaa nae unaona hayuko sawa km mwanzo.
Hasira, chuki, jazba, ndo zimejaa hapo. Namsikitikia kwa kwelii.
Kakata tamaa kabisa. Lol