Wito wa Kujiunga na Mafunzo ya JKT kwa Kujitolea Mwaka 2024. Kazi kwenu!

Wito wa Kujiunga na Mafunzo ya JKT kwa Kujitolea Mwaka 2024. Kazi kwenu!

Half american hii hapa chini
Screenshot_20241001-114558_Chrome.jpg
 
Kuna madogo wanajitolea pale job nawaangalia mpaka nachoka, sasa mtu unajitolea ili upate Nini! Kuna dogo wa kike alijitolea miaka kama mitatu ikafika kipindi mshikaji mmoja pale job alikua anamtania yule Binti " You are the permanent unpensionable", yule Binti alikua inaishia ku-smile ingawa binafsi nilikua najisikia vibaya..

Sasa wewe kijana badala ya kwenda kuwalimia jkt nakushauri usiende ila Lima shamba lako mwenyewe boya wewe!
Jamaa alikuwa anazingua mtu akiwa kwenye hali ile mpe moyo.kutangulia si kufika.
 
Jamaa alikuwa anazingua mtu akiwa kwenye hali ile mpe moyo.kutangulia si kufika.
Kila kipindi kiwe na kikomo. Huwez kujitolea mpaka mwisho mana maisha mengine inabid yaendelee. Niliwah kufanya fanya kikaz flani hiv hotel zanzibar nikakutana na kadada kamejitolea kule wanaitwaga "trainee" kanapiga kazi.

Kakaniambia mm hpa ndo nimefika mchawi nile tu.. nikamuangalia nikaona uwezo wake wa ufikiri upo chini sana na ule ulikuwa mwaka wake wa pili pale yupo tu
 
Back
Top Bottom