Kuna madogo wanajitolea pale job nawaangalia mpaka nachoka, sasa mtu unajitolea ili upate Nini! Kuna dogo wa kike alijitolea miaka kama mitatu ikafika kipindi mshikaji mmoja pale job alikua anamtania yule Binti " You are the permanent unpensionable", yule Binti alikua inaishia ku-smile ingawa binafsi nilikua najisikia vibaya..
Sasa wewe kijana badala ya kwenda kuwalimia jkt nakushauri usiende ila Lima shamba lako mwenyewe boya wewe!