Wito wa kususia nyuzi zisizo na uhalisia kisiasa kuelekea hatma ya Taifa hili

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
11,866
Reaction score
4,264
Comrades,
Natoa wito kususia mada ambazo ha,ina uhalisia kisiasa. Mada zinazoikweza ccm katika mazingira haya ya sasa. Mada kama zifuatazo
1. Kusifia nyomi
2. Kusifia ilani, hasa hama kilichopo madarakani
3. Kusifia misafara ya mvombea wa ccm
4. Kuaminisha watu ccm kina nguvu ya hoja
5. Kusifia matumizi kwenye kampeni
6. N.k

Yapo mambo ambayo ni bayana na si ya kusifia bali kujadili, na ambayo yanakihusu ccm. Mfano
1. Midahalo
2. Ccm kinashindana na nani
3. Kwa nini wapinzani wa ccm ni dhaifu sana.
4. Wanaccm wanajitambua?
5. Uchaguzi upo?
6. N.k

Hawa jamaa wanaomwaga nyuzi humu kutwa mara 3 kama dozi tuwapumzishe kwa kuwapuuzia. Wakija na mada zenye tija tuungane nao.
 
1759132491953.png

Hawanioni, tususie....!!!
 
watanzania hawa wanao kunya standi na gadeni serikal inawajenge stand nzuri za mabasi na garden nzuri mwisho wa sku unakuta mtu mzima amekunya

Watanzania wengi ni wajinga na wanashabikia vitu vya kijinga
 
Ukishindana na mataahira na wewe utaonekana ni taahira. Hao wajinga wanatakiwa wapuuzwe kwa namna yoyote ile.
 
Uko sahihi sana,mada zote zinazohusu ccm tuzipotezee,hili ji wazo zuri sana,nimeshaanza kuzipotezea muda mrefu,hata kuzifungua tusizifungue kabisa.
 
Tuendelee kuhimizana
 
Back
Top Bottom