WITO WA KWENDA KISUTU KWA WINGI KESHO KUSIKILIZA KESI YA LISSU

Zimmermann

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2010
Posts
4,051
Reaction score
3,620
Nasema hivi kwa sababu mpaka sasa hatujasikia zuio la hakimu anayeendesha kesi kukataza wananchi wa kawaida kuhushuria kesi hiyo ya wazi.

Amri ya polisi ya kuzuia wananchi kuhudhira mahakaman kwenye kesi ya wazi, kamata kamata, kuteka na kutesa watu wliohudhuria ilikuwa ni uvunjifu mkubwa wa sheria za nchi hii na haki za binadamu.

Twendeni kwa wingi tukaone jinsi haki inavyotendeka kwa uwazi.

Angalizo;
Kwa vile tumeshapata uzoefu wa matumizi mabaya ya nguvu za dola kwa wananchi wanaohudhuria kesi au mikutano ya kisiasa ya vyama vya upinzani, naomba wananchi wote tujikite saana kwenye matumizi ya teknolojia ku capture ushahidi pale unapoanza kutokea. Hii itasaidia sana huko mbele kwenye kesi za ndani na nje zitakazofunguliwa.
Tunapaswa kuanza kutumia hata hidden body cams na siyo simu tu ku capture uonevu tunaofanyiwa. Kuna hidden body cams nyingi tu kwa bei affordable. Zipo za kama pen ya kuandikia, saa nk.
 
Ha ha ha ha ha ha Maria Sarungi bana!! We utakuwa wapi wakati washabiki wanakula kipondo!!?
 
Saa ya ukombozi ni sasa
 
Mipolisi itajazana huko kana kwamba iko vitani, watanzania hawana hulka ya kupambana na mbwa hao, bora tu wabaki nyumbani wasije wakatekwa na kwenda kutupwa porini wararuliwe na wanyama wakali
 
Shetani ana nguvu sana lakini hakuna mwanadamu mwenye roho wa Mungu anayemtii shetani. Mapolisi wanaozhia haki za wananchi za kikatiba ni mawakala wa shetani. Wala hata siku moja tusiwatii. Shetani humwangukii na kumsujudia bali unamkemea atome.

Kamwe hakuna Mtanzania mwenye kulipenda Taifa hili, mtanzania aliye mtu wa haki, atakayewaangukia polisi. Hawa watabakia mashetani hivyo hivyo wakiwafurahisha mashetani wanaowatuma, lakini hakuna mwanadamu alite wa haki atakayewasikiliza.
 
Nasema hivi kwa sababu mpaka sasa hatujasikia zuio la hakimu anayeendesha kesi kukataza wananchi wa kawaida kuhushuria kesi hiyo ya wazi.

Amri ya polisi ya kuzuia wananchi kuhudhira mahakaman kwenye kesi ya wazi, kamata kamata, kuteka na kutesa watu wliohudhuria ilikuwa ni uvunjifu mkubwa wa sheria za nchi hii na haki za binadamu.

Twendeni kwa wingi tukaone jinsi haki inavyotendeka kwa uwazi.

Angalizo;
Kwa vile tumeshapata uzoefu wa matumizi mabaya ya nguvu za dola kwa wananchi wanaohudhuria kesi au mikutano ya kisiasa ya vyama vya upinzani, naomba wananchi wote tujikite saana kwenye matumizi ya teknolojia ku capture ushahidi pale unapoanza kutokea. Hii itasaidia sana huko mbele kwenye kesi za ndani na nje zitakazofunguliwa.
Tunapaswa kuanza kutumia hata hidden body cams na siyo simu tu ku capture uonevu tunaofanyiwa. Kuna hidden body cams nyingi tu kwa bei affordable. Zipo za kama pen ya kuandikia, saa nk.
tafadhalini sana ndugu malofa wa kubebwa ufala kifikra na vibaka na matapeli wa siasa,
msichukue wazazi wa wenzenu wala mabibi wa wajukuu wa watu nyumbani bali nendeni na wazazi wenu na familia zenu itapendeza zaidi :pulpTRAVOLTA:
 
Chadema wanatufanya watanzania wote tuonekane hamnazo.

Hivi kweli kachumba ka watu 20 katatosha watu zaidi ya hao??

Hapo mnafanya maandamano tu kijanja.

Kwanini msiombe kibali cha hayo maandamano?
 
Shetani ana nguvu sana lakini hakuna mwanadamu mwenye roho wa Mungu anayemtii shetani. Mapolisi wanaozhia haki za wananchi za kikatiba ni mawakala wa shetani. Wala hata siku moja tusiwatii. Shetani humwangukii na kumsujudia bali unamkemea atome.

Kamwe hakuna Mtanzania mwenye kulipenda Taifa hili, mtanzania aliye mtu wa haki, atakayewaangukia polisi. Hawa watabakia mashetani hivyo hivyo wakiwafurahisha mashetani wanaowatuma, lakini hakuna mwanadamu alite wa haki atakayewasikiliza.
acha upotoshaji na kudhani Mungu ni wako pekeyao au ni mjomba wako gentleman.

beba wazazi wako na familia yako mkalete fujo na vurugu, halafu tuone hao polisi ambao hamtawaangukia na kwakweli wadau mashuhuda, tungependa tuone live huo muujiza huo:pulpTRAVOLTA:
 
Chadema wanatufanya watanzania wote tuonekane hamnazo.

Hivi kweli kachumba ka watu 20 katatosha watu zaidi ya hao??

Hapo mnafanya maandamano tu kijanja.

Kwanini msiombe kibali cha hayo maandamano?
Pweinti 😁
 
Ulifuatilia kesi ya Mbowe ya ugaidi iliyodumu kwa miezi 8?
 
Chadema wanatufanya watanzania wote tuonekane hamnazo.

Hivi kweli kachumba ka watu 20 katatosha watu zaidi ya hao??

Hapo mnafanya maandamano tu kijanja.

Kwanini msiombe kibali cha hayo maandamano?
ni vizuri kuambiana ukweli kwamba,
chumba cha mahakama ya kisutu kina enea watu50 pekee, huku chadema pekeyake ikiwa na mawakili31, achilia mbali maafisa wa mahakama, majaji, walinzi na mawakili wa serikali.

katika hali hiyo,
eti yupo mtu moja kakaa mahali nyumbani kwake anakunywa kinywaji cha kuchangamsha ubongo halafu anahamasisha wanachadema wote wa pwani na dar es salama wasikose mahakamani kisutu :pedroP:
 
Back
Top Bottom