Nawe uhudhurie ili uonje kibondo, siyo kukimbilia Kimansichana wakati huo huo ukihamasisha wenzako waende. Kiongozi bora huonesha mfano. Keyboard Warriors hawatakiwiKuna kosa gani kuhudhuria kesi?
Nawe uhudhurie ili uonje kibondo, siyo kukimbilia Kimansichana wakati huo huo ukihamasisha wenzako waende. Kiongozi bora huonesha mfano. Keyboard Warriors hawatakiwiKuna kosa gani kuhudhuria kesi?
Haya mambo hatujaona kwenye kesi ya ugaidi ya Mbowe. Kosa ni kubwa sana, uhaini. Kama alivyosema Lema kwenye kesi zake kadhaa ilibidi hakimu aagize zifungwe loud speaker nje ya mahakama ili watu walio nje wapate kufuatilia mwenendo wa kesi. Ilitakiwa hata vyombo vya habari vikarusha live mwenendo mzima wa kesi. Mnatala kuafanya kwa kificho mfiche aibu zenu?ni vizuri kuambiana ukweli kwamba,
chumba cha mahakama ya kisutu kina enea watu50 pekee, huku chadema pekeyake ikiwa na mawakili31, achilia mbali maafisa wa mahakama, majaji, walinzi na mawakili wa serikali.
katika hali hiyo,
eti yupo mtu moja kakaa mahali nyumbani kwake anakunywa kinywaji cha kuchangamsha ubongo halafu anahamasisha wanachadema wote wa pwani na dar es salama wasikose mahakamani kisutu![]()
polisi wanatumika vibayaKuna kosa gani kuhudhuria kesi?
Kwa kosa gani?Mnaenda kutumika kama ngao, mtavunjwa miguu 🐼
Mungu akiingilia kati utashangaa wananchi wataenda kwa wingi na polisi wasifanye kitu. Hao wanaowatuma polisi wana hatari sana. Hawataki kusikia wanaminya haki za watu. Watavuna wanachopanda soon!Mipolisi itajazana huko kana kwamba iko vitani, watanzania hawana hulka ya kupambana na mbwa hao, bora tu wabaki nyumbani wasije wakatekwa na kwenda kutupwa porini wararuliwe na wanyama wakali
Wanaogopa aibu itakayowakuta mahakamani. Kesi zote mbili zitawaletea aibu kubwa. Na kwa vile hawajui matumizi mazuri ya akili, watarumia nguvu kuubwa kuzuia wanachi wasiende mahakamani. Sikumbuki kwenye kesi ya Mbowe ya ugaidi kama kuna watu walifukuzwa mahakamani.polisi wanatumika vibaya
ccm waoga sana
je yangekuwa maandamano yasiyo na kikomo hadi haki ipatikane wataweza kuzuia?
Nasema hivi kwa sababu mpaka sasa hatujasikia zuio la hakimu anayeendesha kesi kukataza wananchi wa kawaida kuhushuria kesi hiyo ya wazi.
Amri ya polisi ya kuzuia wananchi kuhudhira mahakaman kwenye kesi ya wazi, kamata kamata, kuteka na kutesa watu wliohudhuria ilikuwa ni uvunjifu mkubwa wa sheria za nchi hii na haki za binadamu.
Twendeni kwa wingi tukaone jinsi haki inavyotendeka kwa uwazi.
Angalizo;
Kwa vile tumeshapata uzoefu wa matumizi mabaya ya nguvu za dola kwa wananchi wanaohudhuria kesi au mikutano ya kisiasa ya vyama vya upinzani, naomba wananchi wote tujikite saana kwenye matumizi ya teknolojia ku capture ushahidi pale unapoanza kutokea. Hii itasaidia sana huko mbele kwenye kesi za ndani na nje zitakazofunguliwa.
Tunapaswa kuanza kutumia hata hidden body cams na siyo simu tu ku capture uonevu tunaofanyiwa. Kuna hidden body cams nyingi tu kwa bei affordable. Zipo za kama pen ya kuandikia, saa nk.
Nitahudhuria kesi kama mheshimiwa Lissu ataletwa Mahakamani.
Shetani ana nguvu sana lakini hakuna mwanadamu mwenye roho wa Mungu anayemtii shetani. Mapolisi wanaozhia haki za wananchi za kikatiba ni mawakala wa shetani. Wala hata siku moja tusiwatii. Shetani humwangukii na kumsujudia bali unamkemea atome.
Kamwe hakuna Mtanzania mwenye kulipenda Taifa hili, mtanzania aliye mtu wa haki, atakayewaangukia polisi. Hawa watabakia mashetani hivyo hivyo wakiwafurahisha mashetani wanaowatuma, lakini hakuna mwanadamu alite wa haki atakayewasikiliza.
Mipolisi itajazana huko kana kwamba iko vitani, watanzania hawana hulka ya kupambana na mbwa hao, bora tu wabaki nyumbani wasije wakatekwa na kwenda kutupwa porini wararuliwe na wanyama wakali
Sidhani kama njia hizi mnazotumia kupambana na hawa Watu kuwa ni sahihi, sidhani, Sina uhakika kabisa!Nimeenda juzi na nitakwenda kesho, haya anayoyafanya Mulliro aliyafanya Mahita, sasa muangalie leo Mahita
Kwenda mahakama ya wazi si kosa kisheria unless Hakimu ametoa maelekezo mengine kuhusu uhudhuriaji. Mahakama ya wazi ni mahala pa kuona haki ikitendeka na wananchi wote wanakaribishwa. Tangu lini kwenda mahakamani ikawa ni mbinu ya kupambana na watu fulani? Tangu lini?Sidhani kama njia hizi mnazotumia kupambana na hawa Watu kuwa ni sahihi, sidhani, Sina uhakika kabisa!
Wanavunjwa kwa kosa gani? Sisi ni watu masikini wa akili na roho wallah!Mnaenda kutumika kama ngao, mtavunjwa miguu 🐼
Mkuu kwenda Mahakamani hakujawahi kuwa MapambanoSidhani kama njia hizi mnazotumia kupambana na hawa Watu kuwa ni sahihi, sidhani, Sina uhakika kabisa!
Mkuu kwenda Mahakamani hakujawahi kuwa Mapambano
Lakini ni mapambano ya Kisheria, si malungu ya akina Awadh HajiMahakama tu yenyewe peke yake ni Uwanja wa Mapambano ya Kudai HAKI.
Duniani kote kabisa, Mahakama zimekuwa zikutumika kama Mahali sahihi zaidi kwa ajili ya mapambano ya kudai haki zilizoporwa, kudhukumiwa au Haki zilizotwaliwa kinyume na utaratibu wa kisheria.
Mahakama ni Chombo cha kupigania HAKI.
taratibu wataelewa tuMahakama tu yenyewe peke yake ni Uwanja wa Mapambano ya Kudai HAKI.
Duniani kote kabisa, Mahakama zimekuwa zikitumika kama Mahali sahihi zaidi kwa ajili ya mapambano ya kudai haki zilizoporwa, kudhulumiwa au Haki zilizotwaliwa kinyume na utaratibu wa kisheria.
Mahakama ni Chombo cha kupigania HAKI. Mahakama ni Uwanja wa VIta ya Kupigania HAKI.