Zimmermann
JF-Expert Member
- Sep 28, 2010
- 4,051
- 3,620
Ha ha ha ha ha ha Maria Sarungi bana!! We utakuwa wapi wakati washabiki wanakula kipondo!!?Nasema hivi kwa sababu mpaka sasa hatujasikia zuio la hakimu anayeendesha kesi kukataza wananchi wa kawaida kuhushuria kesi hiyo ya wazi.
Amri ya polisi ya kuzuia wananchi kuhudhira mahakaman kwenye kesi ya wazi, kamata kamata, kuteka na kutesa watu wliohudhuria ilikuwa ni uvunjifu mkubwa wa sheria za nchi hii na haki za binadamu.
Twendeni kwa wingi tukaone jinsi haki inavyotendeka kwa uwazi.
Angalizo;
Kwa vile tumeshapata uzoefu wa matumizi mabaya ya nguvu za dola kwa wananchi wanaohudhuria kesi au mikutano ya kisiasa ya vyama vya upinzani, naomba wananchi wote tujikite saana kwenye matumizi ya teknolojia ku capture ushahidi pale unapoanza kutokea. Hii itasaidia sana huko mbele kwenye kesi za ndani na nje zitakazofunguliwa.
Tunapaswa kuanza kutumia hata hidden body cams na siyo simu tu ku capture uonevu tunaofanyiwa. Kuna hidden body cams nyingi tu kwa bei affordable. Zipo za kama pen ya kuandikia, saa nk.
Kuna kosa gani kuhudhuria kesi?Ha ha ha ha ha ha Maria Sarungi bana!! We utakuwa wapi wakati washabiki wanakula kipondo!!?
Amri haram ya Muliro si ilikuwa ya tarehe 24 tu au ni kwa kesi zote za Lissu zitakaposikilizwa?Ha ha ha ha ha ha Maria Sarungi bana!! We utakuwa wapi wakati washabiki wanakula kipondo!!?
Sa si uendeee!! Ukirudi utujulishe. We are waiting!!Kuna kosa gani kuhudhuria kesi?
Saa ya ukombozi ni sasaNasema hivi kwa sababu mpaka sasa hatujasikia zuio la hakimu anayeendesha kesi kukataza wananchi wa kawaida kuhushuria kesi hiyo ya wazi.
Amri ya polisi ya kuzuia wananchi kuhudhira mahakaman kwenye kesi ya wazi, kamata kamata, kuteka na kutesa watu wliohudhuria ilikuwa ni uvunjifu mkubwa wa sheria za nchi hii na haki za binadamu.
Twendeni kwa wingi tukaone jinsi haki inavyotendeka kwa uwazi.
Angalizo;
Kwa vile tumeshapata uzoefu wa matumizi mabaya ya nguvu za dola kwa wananchi wanaohudhuria kesi au mikutano ya kisiasa ya vyama vya upinzani, naomba wananchi wote tujikite saana kwenye matumizi ya teknolojia ku capture ushahidi pale unapoanza kutokea. Hii itasaidia sana huko mbele kwenye kesi za ndani na nje zitakazofunguliwa.
Tunapaswa kuanza kutumia hata hidden body cams na siyo simu tu ku capture uonevu tunaofanyiwa. Kuna hidden body cams nyingi tu kwa bei affordable. Zipo za kama pen ya kuandikia, saa nk.
Nimeenda juzi na nitakwenda kesho, haya anayoyafanya Mulliro aliyafanya Mahita, sasa muangalie leo MahitaSa si uendeee!! Ukirudi utujulishe. We are waiting!!
Umealikwa?Kuna kosa gani kuhudhuria kesi?
tafadhalini sana ndugu malofa wa kubebwa ufala kifikra na vibaka na matapeli wa siasa,Nasema hivi kwa sababu mpaka sasa hatujasikia zuio la hakimu anayeendesha kesi kukataza wananchi wa kawaida kuhushuria kesi hiyo ya wazi.
Amri ya polisi ya kuzuia wananchi kuhudhira mahakaman kwenye kesi ya wazi, kamata kamata, kuteka na kutesa watu wliohudhuria ilikuwa ni uvunjifu mkubwa wa sheria za nchi hii na haki za binadamu.
Twendeni kwa wingi tukaone jinsi haki inavyotendeka kwa uwazi.
Angalizo;
Kwa vile tumeshapata uzoefu wa matumizi mabaya ya nguvu za dola kwa wananchi wanaohudhuria kesi au mikutano ya kisiasa ya vyama vya upinzani, naomba wananchi wote tujikite saana kwenye matumizi ya teknolojia ku capture ushahidi pale unapoanza kutokea. Hii itasaidia sana huko mbele kwenye kesi za ndani na nje zitakazofunguliwa.
Tunapaswa kuanza kutumia hata hidden body cams na siyo simu tu ku capture uonevu tunaofanyiwa. Kuna hidden body cams nyingi tu kwa bei affordable. Zipo za kama pen ya kuandikia, saa nk.
acha upotoshaji na kudhani Mungu ni wako pekeyao au ni mjomba wako gentleman.Shetani ana nguvu sana lakini hakuna mwanadamu mwenye roho wa Mungu anayemtii shetani. Mapolisi wanaozhia haki za wananchi za kikatiba ni mawakala wa shetani. Wala hata siku moja tusiwatii. Shetani humwangukii na kumsujudia bali unamkemea atome.
Kamwe hakuna Mtanzania mwenye kulipenda Taifa hili, mtanzania aliye mtu wa haki, atakayewaangukia polisi. Hawa watabakia mashetani hivyo hivyo wakiwafurahisha mashetani wanaowatuma, lakini hakuna mwanadamu alite wa haki atakayewasikiliza.
Pweinti 😁Chadema wanatufanya watanzania wote tuonekane hamnazo.
Hivi kweli kachumba ka watu 20 katatosha watu zaidi ya hao??
Hapo mnafanya maandamano tu kijanja.
Kwanini msiombe kibali cha hayo maandamano?
Ulifuatilia kesi ya Mbowe ya ugaidi iliyodumu kwa miezi 8?Chadema wanatufanya watanzania wote tuonekane hamnazo.
Hivi kweli kachumba ka watu 20 katatosha watu zaidi ya hao??
Hapo mnafanya maandamano tu kijanja.
Kwanini msiombe kibali cha hayo maandamano?
Nitahudhuria kesi kama mheshimiwa Lissu ataletwa Mahakamani.Kuna kosa gani kuhudhuria kesi?
ni vizuri kuambiana ukweli kwamba,Chadema wanatufanya watanzania wote tuonekane hamnazo.