WITO WA KWENDA KISUTU KWA WINGI KESHO KUSIKILIZA KESI YA LISSU

Kuna kosa gani kuhudhuria kesi?
Nawe uhudhurie ili uonje kibondo, siyo kukimbilia Kimansichana wakati huo huo ukihamasisha wenzako waende. Kiongozi bora huonesha mfano. Keyboard Warriors hawatakiwi
 
Haya mambo hatujaona kwenye kesi ya ugaidi ya Mbowe. Kosa ni kubwa sana, uhaini. Kama alivyosema Lema kwenye kesi zake kadhaa ilibidi hakimu aagize zifungwe loud speaker nje ya mahakama ili watu walio nje wapate kufuatilia mwenendo wa kesi. Ilitakiwa hata vyombo vya habari vikarusha live mwenendo mzima wa kesi. Mnatala kuafanya kwa kificho mfiche aibu zenu?
 
Mipolisi itajazana huko kana kwamba iko vitani, watanzania hawana hulka ya kupambana na mbwa hao, bora tu wabaki nyumbani wasije wakatekwa na kwenda kutupwa porini wararuliwe na wanyama wakali
Mungu akiingilia kati utashangaa wananchi wataenda kwa wingi na polisi wasifanye kitu. Hao wanaowatuma polisi wana hatari sana. Hawataki kusikia wanaminya haki za watu. Watavuna wanachopanda soon!
 
polisi wanatumika vibaya
ccm waoga sana
je yangekuwa maandamano yasiyo na kikomo hadi haki ipatikane wataweza kuzuia?
Wanaogopa aibu itakayowakuta mahakamani. Kesi zote mbili zitawaletea aibu kubwa. Na kwa vile hawajui matumizi mazuri ya akili, watarumia nguvu kuubwa kuzuia wanachi wasiende mahakamani. Sikumbuki kwenye kesi ya Mbowe ya ugaidi kama kuna watu walifukuzwa mahakamani.
 
Wakenya tu ndo wazoefu wa haya mambo,bongo waoga wengi
 
Nitahudhuria kesi kama mheshimiwa Lissu ataletwa Mahakamani.
Mipolisi itajazana huko kana kwamba iko vitani, watanzania hawana hulka ya kupambana na mbwa hao, bora tu wabaki nyumbani wasije wakatekwa na kwenda kutupwa porini wararuliwe na wanyama wakali
Nimeenda juzi na nitakwenda kesho, haya anayoyafanya Mulliro aliyafanya Mahita, sasa muangalie leo Mahita
Sidhani kama njia hizi mnazotumia kupambana na hawa Watu kuwa ni sahihi, sidhani, Sina uhakika kabisa!
 
Sidhani kama njia hizi mnazotumia kupambana na hawa Watu kuwa ni sahihi, sidhani, Sina uhakika kabisa!
Kwenda mahakama ya wazi si kosa kisheria unless Hakimu ametoa maelekezo mengine kuhusu uhudhuriaji. Mahakama ya wazi ni mahala pa kuona haki ikitendeka na wananchi wote wanakaribishwa. Tangu lini kwenda mahakamani ikawa ni mbinu ya kupambana na watu fulani? Tangu lini?
 
Mkuu kwenda Mahakamani hakujawahi kuwa Mapambano

Mahakama tu yenyewe peke yake ni Uwanja wa Mapambano ya Kudai HAKI.
Duniani kote kabisa, Mahakama zimekuwa zikitumika kama Mahali sahihi zaidi kwa ajili ya mapambano ya kudai haki zilizoporwa, kudhulumiwa au Haki zilizotwaliwa kinyume na utaratibu wa kisheria.
Mahakama ni Chombo cha kupigania HAKI. Mahakama ni Uwanja wa VIta ya Kupigania HAKI.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Lakini ni mapambano ya Kisheria, si malungu ya akina Awadh Haji
 
taratibu wataelewa tu
kwamba mabadiliko ni ya lazma
chadema ina wafuasi walio tayari kufa na wazidi kuongezeka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…