Wito wa Maandamano makubwa kulaani Serikali kushindwa kuleta maji ya uhakika kwa miaka 60

Kwahiyo serikali Kazi yake hasa ni nini ??
 
Mkiandamana ndo maji yatatoka, hivi watz mbinaa tunakuwa wajinga kiasi hiki. Badala ya kupambana kutafta maji mnaitisha maandamano
Hakuna mtanzania atafanya huo ujinga na wewe..

Saizi msimu wa kilimo watu wako busy na shamba eti waje kuandamana kwa upuuzi wa Chadomo.😁😁
 
Hakuna mtanzania atafanya huo ujinga na wewe..

Saizi msimu wa kilimo watu wako busy na shamba eti waje kuandamana kwa upuuzi wa Chadomo.😁😁
Nyie tunawajua, na mko wengi huwa mnatumwa na mfumo kudiscourage nguvu ya umma isichukue action. Ila kwa hali inavyoendelea humu nchini hamtofanikiwa kama zamani
 
Maji hayatakiwi kufanyiwa biashara, ni overpopulation na ulafi wa binadamu uliopitiliza ndio unapelekea maji kuwa biashara
 
Nje ya mada Mi kwa sasa nalia na hawa TTCL Tanzania, wana mkonga wa taifa ila kusambaza fiber nchi zima imeshindikana kabisa. ki jiji kama Dar wameshindwa kabisa kupitisha huduma vitongoji vyote duh! Sasa huo mkonga sijui ni kwa ajili ya kujipimia ofisini kwao tu.

Serikali yetu labda inafanya kazi kwa mazoea itabidi iwajibishwe na wananchi.
 
Utachapwa kipigo cha mbwa koko, jaribu uone. Acheni ulimbukeni. CCM haihusiki na mambo ya maji maana kila kona ya dunia kuna uhaba wa maji na mvua
Kila kona ya dunia umefika lini? Ndezi kweli. Utajiri wa maji tulionao kwa maana ya maziwa, mito, bahari, chemchemi, mabwawa n.k tukose maji kwa minajili gani
 
Kiufupi hii serikali imeshajua aina ya watuinayoowaongoza ndo maana wanajiendea tu. Leo mtavuma kwa kuandaa maandamano kesho wanakuja na tukio mtandaoni wanatutoa kwenye nia.

Ila vizazi vyetu vijavyo vitatulaum na kutushangaa tusipochukua hatua.Kila sh 1 inayoongezeka kwenye gharama za maisha itakaa milele. Tuamke watanzania!
 
Sisi Watanzania bado akili na uthubutu vimelala. Subiri kwanza dumu la maji liuzwe kwa sh. 5000/- hapo ndipo akili zitatukaa sawa.
 
Mnazaliana na kuzaliwa kama kuku na panya.
Wakati wa uhuru tulikuwa milioni 9, Maji yalitutosha.
Ninyi mrudi Burundi.
Mtu mzima hovyo,

Sasa ndo umeandika nini?

naona hautaki ustaarabu eeeh!

ukijibu hoja bila kuweka Tambo za dharau unapungukiwa maji mwilini?

Nonsense
 
Hakuna haja ya mapinduzi ya kijeshi, Mapinduzi ya wananchi yanatosha
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Endeleeni kujidanganya. Hakuna mtu muoga kama mtanzania. Yaani hata mimi ni muoga sana! Na ndio maana ccm mpaka leo wapo madarakani pamoja na madudu yao tena wapo bize na V8.

Kama mnataka kuitoa ccm lazima watu mfanye mapinduzi ya kijeshi basi. Zaidi ya hapo vumilia tu πŸ˜‚πŸ˜‚. Kiufupi vumilia mpaka kifo au mwisho wa dunia. Kama hautaki hama nchi au "hamia Burundi" πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kila inzi afie kwenye mlo wake maji hayana chama sindano ituingie vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…