Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,303
- 12,679
Maandamano πππ
Labda mfanye mapinduzi ya kijeshi.
Labda mfanye mapinduzi ya kijeshi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo serikali Kazi yake hasa ni nini ??Kabla ya kuwaza hayo
Jiulize wewe kama mwananchi unafursa ya kuanzisha kampuni kubwa ya kusambaza maji mijini na vijijini je umefanya hivyo au your talent is for waste haya matatizo ya maji ni fursa sie wamiliki wa visima vidogo tunaouzia watu maji tunatamani shida iendelee na pia tunatamani kutambulika ili tupate mikopo mikubwa tusambaze maji kwa watu wengi ikiwezekana mji mzima hii ndio maana ya kuwa mwananchi serikali ituweke sera na kubadili sheria za kuzibeba mamlaka mbalimbali za maji inazomiliki kama vile kwenye mitandao ya simu na redio iweke uwanja sawa iseme ruksa watu binafsi kusambaza maji safi ila kampuni zisajiliwe na zilipe kodi tumalize hili tatizo kwa watanzania ndani ya mwaka maji yatasambaaa kila kijiji.
Hakuna mtanzania atafanya huo ujinga na wewe..Mkiandamana ndo maji yatatoka, hivi watz mbinaa tunakuwa wajinga kiasi hiki. Badala ya kupambana kutafta maji mnaitisha maandamano
Kadri watu wanavyozidi katika nchi ndio na kodi inaongezeka kukusanywa!!Mnazaliana na kuzaliwa kama kuku na panya.
Wakati wa uhuru tulikuwa milioni 9, Maji yalitutosha.
Ninyi mrudi Burundi.
Hakuna haja ya mapinduzi ya kijeshi, Mapinduzi ya wananchi yanatoshaMaandamano πππ
Labda mfanye mapinduzi ya kijeshi.
Zaidi ya 79% ni vijana ambao wamezaliwa hovyo na hawana kipato chichote cha kulipa kodi.Kadri watu wanavyozidi katika nchi ndio na kodi inaongezeka kukusanywa!!
Nyie tunawajua, na mko wengi huwa mnatumwa na mfumo kudiscourage nguvu ya umma isichukue action. Ila kwa hali inavyoendelea humu nchini hamtofanikiwa kama zamaniHakuna mtanzania atafanya huo ujinga na wewe..
Saizi msimu wa kilimo watu wako busy na shamba eti waje kuandamana kwa upuuzi wa Chadomo.ππ
Kabla ya kuwaza hayo
Jiulize wewe kama mwananchi unafursa ya kuanzisha kampuni kubwa ya kusambaza maji mijini na vijijini je umefanya hivyo au your talent is for waste haya matatizo ya maji ni fursa sie wamiliki wa visima vidogo tunaouzia watu maji tunatamani shida iendelee na pia tunatamani kutambulika ili tupate mikopo mikubwa tusambaze maji kwa watu wengi ikiwezekana mji mzima hii ndio maana ya kuwa mwananchi serikali ituweke sera na kubadili sheria za kuzibeba mamlaka mbalimbali za maji inazomiliki kama vile kwenye mitandao ya simu na redio iweke uwanja sawa iseme ruksa watu binafsi kusambaza maji safi ila kampuni zisajiliwe na zilipe kodi tumalize hili tatizo kwa watanzania ndani ya mwaka maji yatasambaaa kila kijiji.
Mnazaliana na kuzaliwa kama kuku na panya.
Wakati wa uhuru tulikuwa milioni 9, Maji yalitutosha.
Ninyi mrudi Burundi.
Kila kona ya dunia umefika lini? Ndezi kweli. Utajiri wa maji tulionao kwa maana ya maziwa, mito, bahari, chemchemi, mabwawa n.k tukose maji kwa minajili ganiUtachapwa kipigo cha mbwa koko, jaribu uone. Acheni ulimbukeni. CCM haihusiki na mambo ya maji maana kila kona ya dunia kuna uhaba wa maji na mvua
Mtu mzima hovyo,Mnazaliana na kuzaliwa kama kuku na panya.
Wakati wa uhuru tulikuwa milioni 9, Maji yalitutosha.
Ninyi mrudi Burundi.
ππππHakuna haja ya mapinduzi ya kijeshi, Mapinduzi ya wananchi yanatosha
Mrudi Burundi ninyi watoto wa mitaani.Mtu mzima hovyo,
Sasa ndo umeandika nini?
naona hautaki ustaarabu eeeh!!
ukijibu hoja bila kuweka Tambo za dharau unapungukiwa maji mwilini?
Nonsense