Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Hatimaye CAF imethibitisha kuwa Tanzania itakuwa miongoni mwa waandaaji wa AFKON. Kwakuwa serikali iliyopo ni HARAMU, natoa wito wa maandamano yasiyo na kikomo kuanzia tarehe ya uzinduzi wa AFCON mpaka kieleweke.
Wageni waliopangwa kuja wajulishwe kabisa kuwa tunawakaribisha, lakini tutakuwa na maandamano ya kuyabagaza majizi na matapeli ya CCM yakiongozwa na tapeli mkuu na muuaji.
Wageni waliopangwa kuja wajulishwe kabisa kuwa tunawakaribisha, lakini tutakuwa na maandamano ya kuyabagaza majizi na matapeli ya CCM yakiongozwa na tapeli mkuu na muuaji.