Ni wazi kuwa huielewi logic ya hoja na swali la
Behaviourist au unaamua kupotezea kwa makusudi badala ya kujibu...
Ukitaka kuwa honest na kuufanya mjadala huu uwe wa manufaa kwa wote ktk kujengeana ufahamu wa hili jambo wekeni mapenzi yenu binafsi pembeni kisha tambueni nafasi ya Rais katika hili na nafasi yangu, yako na raia wengine wa kawaida...
Kiukweli kabisa ndugu
Jumbe Brown Rais alipohojiwa na BBC, alisema mambo mawili very controversial yanayotafsiriwa kama "mhimili wa serikali kupitia Rais kuingilia mahakama" kuhusu kesi hii;
1. Kwamba, kuna "wenzake na Mbowe" waliokwisha hukumiwa tayari kwa makosa hayohayo. Huu ulikuwa uongo wa mchana kweupe...!
2. Kwamba, kuna ushahidi wa kutosha kuthibitisha "makosa ya Mbowe" na ndiyo maana alikimbilia Nairobi Kenya akijua ana kesi. Hii direct kuingilia mahakama...
KUMBUKA: Jambo moja kuwa, mtu aliye katika nafasi ya U Rais wa nchi kama Samia Hassan huyu, kwake anapopanua mdomo wake kuzungumza mambo ya nchi, welfare za watu anaowaongoza, hakuna kitu kinaitwa "maoni ya Rais". Kwake anapozungumza juu ya jambo lililo halisi, anakuwa anaelekeza...
Hayo sijui hupewa daily briefing na mengine ni ya kwao huko ndani. Kama hudanganywa au vipi is not our business. Sisi tuna - consume na ku - analyse kinachokuwa kimetoka tayari nje...