Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Vidole mali yako....Puto kingine hili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vidole mali yako....Puto kingine hili
Ni wazi hajui umbali wa kutoka Dar mpaka Mbeya, alidhani sawa na kutoka Kinondoni Mkwajuni mpaka Magomeni Mapipa, au alitegemea kwamba ukivuta bangi unakuwa na spidi ya kufanya kazi bila kuchoka. Lakini njia yote haina watu wala magari ambayo tayari yako barabarani! Wote hao watakaa wanaitazama! Hii ni wanaccm tu ndio watakubaliana nayo.Yaani hiki ni kituko cha mwaka. Unakata miti ili kuzuia njia! Kigai kweli hana akili huyu.
Hata simjui...Asprin hivi huyu Ni Nani maana anaonekana ni debe tupu kichwani
Kama hahusiki hata chembe mbona aliiambia BBC swahili kuwa Mbowe ni gaidi na wana ushahidi wa kutosha na mbaya zaidi akadanganya dunia kuwa wale washtakiwa wenzake tayari walishahukumiwa kwa ugaidi?Rais hahusiki hata chembe na kesi zilizoko mahakamani.....
Hii kesi itamvua sana nguo Samia maana alishaingilia maana naona mkwamo mbele wa hii kesi. Namsubiri sana Sirro siku yake.Ni wazi hajui umbali wa kutoka Dar mpaka Mbeya, alidhani sawa na kutoka Kinondoni Mkwajuni mpaka Magomeni Mapipa, au alitegemea kwamba ukivuta bangi unakuwa na spidi ya kufanya kazi bila kuchoka. Lakini njia yote haina watu wala magari ambayo tayari yako barabarani! Wote hao watakaa wanaitazama! Hii ni wanaccm tu ndio watakubaliana nayo.
Mtu mwenye common sense huwa hahamaki na kutukana, hutoa hoja ili ampiku mshindani wake.Nani kasema anajua Sheria. This is common sense, instinctive. You use your intuition man!
Kuna wengine description yao inayowafit Ni hiyo, Ni lugha hiyo, you can not describe him or her differentlyMtu mwenye common sense huwa hahamaki na kutukana, hutoa hoja ili ampiku mshindani wake.
Naomba tu na mimi usinitukane.
Kwani na wewe unayeiongelea kesi ya Mbowe umehusika kumpeleka aliko?!!Kama hahusiki hata chembe mbona aliiambia BBC swahili kuwa Mbowe ni gaidi na wana ushahidi wa kutosha na mbaya zaidi akadanganya dunia kuwa wale washtakiwa wenzake tayari walishahukumiwa kwa ugaidi?
Ungemwandikia kwa lugha anayoielewa huyo Iboya2021. Kumchanganyia na lugha ya Malkia unampoteza maana atakuja na explosion nyingine...Soma alivyoulizwa na wakili wa serikali. Wakili framed a wrong question, a misleading one for the anticipated response
Hapo juu umeongelea suala la Rais kutokuhusika hata "chembe" kwa kesi zilizopo mahakamani:Kwani na wewe unayeiongelea kesi ya Mbowe umehusika kumpeleka aliko?!!
Rais anapewa tu "briefings" za mengi yanayoendelea nchini....
Kwani wewe unahusika hata CHEMBE na kesi hiyo unayoiongelea?!!Hapo juu umeongelea suala la Rais kutokuhusika hata "chembe" kwa kesi zilizopo mahakamani:
Unaelewa maana ya Rais kutokuhusika hata "chembe" kwa kesi zilizopo mahakamani?
Unaelewa kama Rais alikuwa hahusiki hata "chembe" kwa kesi ya Freeman Mbowe iliyopo mahakamani angepaswa kujibu vipi alipoulizwa na BBC juu ya kesi hiyo ambayo tayari ilikuwa mahakamani?Alipojibu kuwa Mbowe ni gaidi alikuwa sahihi?
ma-Gay mna tabuyake ndiyo si likuwa anamhoji mtuhumiwa anaandika na mtuhumiwa anasaini kwamba kilichoandikwa ni sawa sasa hapo kosa liko wapi? mbowe anaenda kula mvua za kutosha gaidi mkubwa mbwa huyu
Duuh, that's too bad...Halafu pia alijichanganya sana pale wakili msomi Mtobesya alipomchanganya na vifungu vya sheria kisha akamuuliza kuwa alichukua maelezo kwa mujibu wa vifungu vya sheria au alitumia tu uzoefu, halafu ACP Kingai akajichanganya na kusema kuwa alitumia tu uzoefu kwa sababu alishajua kama akisema kuwa alitumia kifungu cha sheria ataambiwa akitaje wakati hakijui.
Kisha wakili msomi Mtobesya akakaa chini fasta kwa sababu alishajua kuwa amemaliza jambo lake vizuri.
Mimi ni Rais?Labda nikukumbushe kuwa hapa tunazungumzia juu ya mihimili kuwa huru na kutokuingiliana katika maamuzi hasa mhimili wa utawala.Kwani wewe unahusika hata CHEMBE na kesi hiyo unayoiongelea?!!
Kwanini mawakili wa Jamhuri mara nyingi hawafanyi mambo kwa umakini?
Huyu nadhani Yuko kwenye payroll ya wanaolipwa kuandika chochote hata kama ni Cha hovyo mradi paymaster wake aone kaandika utetezi gani!nyie jipeni matumaini tu hizo ni hoja mrenda mrenda sana mbowe lazima ale mvua yaani kumbe ni kweli jamaa ni gaidi na aliznza zamani
Wewe unaiongelea kesi iliyoko mahakamani....Mimi ni Rais?Labda nikukumbushe kuwa hapa tunazungumzia juu ya mihimili kuwa huru na kutokuingiliana katika maamuzi hasa mhimili wa utawala.
Halafu unanilinganisha mimi na Rais?Unaijua sayansi ya kulinganisha vitu?