Wito: Waliomrekodi na kusambaza video ya Mbunge mstaafu Prof Jay akiwa ICU wachukuliwe hatua

Wito: Waliomrekodi na kusambaza video ya Mbunge mstaafu Prof Jay akiwa ICU wachukuliwe hatua

Manesi hawa walokua wanauza watoto zamani siwaloi yamini itakua ndo wanahusika hakuna watu washenzi kama manesi!!wanapenda pesa kuliko utu...!!!
 
Amekosea sana huyo binti sana tena sana lakini ndugu zangu tunapotaka kukemea jambo tukemee kwa nguvu zote tunapoona linadharirisha utu wa mtu bila kubagua wala kuchagua ,

Nakumbuka huyu binti aliwahi kumsema na kumtusi vibaya mno mwendazake ingawa nae kweli alikua na madhaifu yake lakini hakustahili yale ila kuna watu wengine hata humu humu walimuunga mkono sana sana ila leo hii hii kwa tabia zile zile alizoungwa mkono ameendelea nazo,

Basi kila mtu povu linatokota n.b mchelea mwana kulia huyo dada ipo siku ipo siku atalia na kusaga meno hata awe nyuma ya nani na hata wanaomtumia watamtosa ,tumekwishayaona hayo......

Wasalaaam
 
Tundu Liissu mlimpost n.a. mipaja nje mbona hawakuja kujamba hapa?? Tatizo MACHADEMA mmemtelekeza Jay mngempeleka nje angepata matibabu n.a. mazungira mazuri sana. Nani.angempiga mapicha? Sababu ya ubinafsi wenu kaeni chini muache kulia lia. Ndegeles
 
Kifungo hicho ni kwa sheria hipi?

Nani amebainika kurekodi hii video?

Huu ujinga na matakataka ya Da Mange mmeyalia wenyewe sasa yameanza kuchafua na kugusa kila mmoja wetu!

Dhambi inatabia ya kuwaumiza na kuwarudia wale wote wanaoshabikia na kufurahia inapowaumiza wengine maana dhambi haina mipaka leo kwako kesho kwa mwingine!

Dhambi ya watu kudhalilishwa na kutwezwa utu wao Da Mange hakuanza leo wala jana ameanza kitambo sana na alipokuwa akiwafanyia wengine ni ninyi wana jf na wengine mlimuita shujaaa....Hivi alipo mdhalilisha Lemutuz ni kina nani walikemea? Amedhalilisha maiti na watu wangapi na watu wakaendelea kushangilia?

Ni wangapi mlikemea na mkataka afungwe? Zaidi ya kumuita shujaa na kusema ni uhuru wa maoni?

Dhambi ikikugusa inauma sana lakini ikimgusa mwingine uwezi elewa maumivu....wale waliokuwa wanaumizwa na Da Mange sasa mnaweza kuwaelewa kabisa!
 
Taifa lililia pia kwa huyu kinara wa kuhamasisha ufisadi katika Taifa?🐒🐒🐒
 
I don’t dig cancel culture. But if there’s someone who deserves to be canceled, it’s her!

She is demented. And some people fear her. I don’t even know why.

How come no one has done her bad all these years? Maybe she isn’t out there like that for people to get their hands on her. Otherwise, it would have been on-site.

But then again we’re talking about Tanzanians here. One of the most, if not the most docile and meek people you will ever find on planet earth.

Defund her!

KAMA UMEELEWA KISWAHILI kwa nini usiandike kiswali?

Ulimbukeni na dictionary ya android mbaya Sana!
 
Kabla hujapost video ya Jay, ulionywa sana na wadau wako wa Instagram kwamba kupost video ya mgonjwa si Jambo jema, lakini ukakaidi, ukapost.

Alipoku Waziri Mkuu Peter Pinda alisema kama umeonywa na umekaidi, upigwe TU.

Ndivyo ilivyokuwa kwako, umeonywa, umekaidi kichapo kiwe juu yako.

Kama asiye funzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu, na sis walimwengu wa taifa hili tumechoshwa na tabia zako za hovyo za kushambulia utu wa watu, kuingilia Uhuru wao wa faragha, kuwatukana, kuwadhalilisha na kuwatendea kila ubaya.

MangeKimambi, Mungu hayupo likizo, na amesikia kilio Cha muda mrefu. Machozi ya Watanzania wengi walio umizwa na wewe yamefika kwenye kiti cha enzi.

NI wakati wako sasa kutubu na kuomba msamaha.

Ivumayo haidumu, ngoma ikilia sana mwisho wake NI kupasuka
Bujibuji Simba Nyanaume hakuna laana ya double standard ndugu sahau wacha profesor j adharirishwe tu nayeye, hivi wakati mange anamdharirisha JPM (R.I.P) ulishatoka hata kukemea acha kulaani kama ulivyolaani hapa? tena maange kachelewa angeisambaza mpaka kwenye fb jf na kila kona tumuone jamaa anavyopigania uhai wake unajuwa kwa binadamu kuna makundi mawili tu UNAYEMPENDA na USIYEMPENDA hivyo tuliyempenda aliyedhalilishwa mwanzo tumeshapoa na sasa zamu ya tusiye mpenda nayeye adharirishwe kwa hiyo msiumie sana take it easy tu hapati mtu laana hapo mnajisumbua tu
 
Tundu Liissu mlimpost n.a. mipaja nje mbona hawakuja kujamba hapa?? Tatizo MACHADEMA mmemtelekeza Jay mngempeleka nje angepata matibabu n.a. mazungira mazuri sana. Nani.angempiga mapicha? Sababu ya ubinafsi wenu kaeni chini muache kulia lia. Ndegeles

Sent from my SM-A320F using JamiiForums mobile app
Jukumu la kumpeleka mgonjwa nje kwa matibabu ni la serikali siyo Chadema.

Waziri Ummy ameshasema serikali inamgharamia Jay.

Punguzeni usukununu!
 
wacha adharirike naye prof. j mbona haya mambo yalikuwepo sana kabla ya march 17 wacha wamwanike tu tumuone anavyo hangaikia pumzi za mwisho mlifurahi kwa msiyempenda sasa furahini kwa mnayempenda pia acheni ujinga wenu
 
Kifungo hicho ni kwa sheria hipi?
Nani amebainika kurekodi hii video?
Huu ujinga na matakataka ya Da Mange mmeyalia wenyewe sasa yameanza kuchafua na kugusa kila mmoja wetu!

Dhambi inatabia ya kuwaumiza na kuwarudia wale wote wanaoshabikia na kufurahia inapowaumiza wengine maana dhambi haina mipaka leo kwako kesho kwa mwingine!

Dhambi ya watu kudhalilishwa na kutwezwa utu wao Da Mange hakuanza leo wala jana ameanza kitambo sana na alipokuwa akiwafanyia wengine ni ninyi wana jf na wengine mlimuita shujaaa....Hivi alipo mdhalilisha Lemutuz ni kina nani walikemea? Amedhalilisha maiti na watu wangapi na watu wakaendelea kushangilia?

Ni wangapi mlikemea na mkataka afungwe? Zaidi ya kumuita shujaa na kusema ni uhuru wa maoni?

Dhambi ikikugusa inauma sana lakini ikimgusa mwingine uwezi elewa maumivu....wale waliokuwa wanaumizwa na Da Mange sasa mnaweza kuwaelewa kabisa!
Video hiyo unayo mkuu?

Maana hakuna mahali imepostiwa hapa jf
 
Jukumu la kumpeleka mgonjwa nje kwa matibabu ni la serikali siyo Chadema.

Waziri Ummy ameshasema serikali inamgharamia Jay.

Punguzeni usukununu!
Waziri alisema baada ya nyinyi MaCHADEMA kumtelekeza. Nyumbu kabisa. Mngekua mmempeleka India kuanzia ameanza kuumwa mngekua mnaharisha hapa. Wanafiki wakubwa.
 
Back
Top Bottom