Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe binafsi umelipia kiasi gani?Prof Jay in mgonjwa wa umma
Bado walipa kodi tunalipia matibabu yake
Anaigharimu serikali, a public charge
Tuna haki ya kujua anaendeleje kwa kumwona
Hii video ilinipita sema watu wanyama sanaaWaliomrekodi JPM akiwa mahututi na katika hali isiyo ya kibinadamu zingine zikionesha akiwa kwenye jeneza akiwa na afya dhoofu kisha picha na video zake kutupia mtandaoni kabla ya kutangaziwa umati wake nao pia wachukuliwe hatua kali kwa mjibu wa sheria za kinga ya faragha
Huo upendeleo mnaoutafuta ukate pande zote mbili
Wewe binafsi umelipia kiasi gani?
Kwanini useme "tuna haki"? kwani wewe ni taasisi?Milioni 10
Niliagiza gari likachajiwa ushuru milioni 10, zimeenda kumtibia Prof Jay
Prof Jay is a public charge, anaigharimu nchi!
Baada ya kuwa ashalipwa kiinua mgongo milioni 400 na mshahara wa mil 10 kila mwezi miaka mitano…
Tuna haki ya kujua details za hali yake
Serikali haipaswi kuwa na upendeleo kwa raia.Kwanini useme "tuna haki"? kwani wewe ni taasisi?
By the way, mimi pia ni mlipa kodi ila sioni kama kulipa kodi kunanipa haki ya kujua personal life ya watu wengine. Professor J sio mnufaika pekee wa kodi zetu, kila mtanzania ananufaika na kodi kwa namna moja au nyingine.
Hongera kwa kununua gari mkuu!
Nakubaliana na wewe kwamba tunayo mifumo mibovu ya afya, haki na usawa. Kuna upendeleo, na pia sioni mantiki ya serikali kumlipia gharama za hospitali mbunge mstaafu ambae kwa mshahara aliokua anapata pamoja na pensheni, naamini anazimudu.Serikali haipaswi kuwa na upendeleo kwa raia.
Prof Jay hana shida kuzidi mamilioni ya Watanzania wanaokufa kwa kukosa laki tatu za kutibiwa.
Vi nchi vichanga vyenye viongozi type za Waziri wa Afya Ummy Mwalimu wasio na exposure, weledi wala upeo ndio yanatolea mambo kama haya.
Na ndio maana situpendi hutu tumbau mbau hata kidogo.Ogopa sana tu-dem aina ya haka ka kimbau mbau, yani kamekauka kauuu tako hakuna tumiguu twembamba mdomo ndio mkubwaaa. Gubu, kisirani,jeuri, ujasiri wa shetani, hatunaga aibu hata moja na hua vina jiamini balaa kanaweza kukutunishia msuli kama dume la nyani. NI tu-mwanamke twa hovyo sana
Au Mange ni wewe?E
Be careful unless otherwise she will give you publicity.
U will become infamous.
Ur not Invisible from the point of her observation
Hakuna aliye salama mbele ya huyo Mangi.
Mkumbusheni na Mama.
Hakuna aliye salama mbele ya huyo Mangi.
Mkumbusheni na Mama.