Wito: Waliomrekodi na kusambaza video ya Mbunge mstaafu Prof Jay akiwa ICU wachukuliwe hatua

Wito: Waliomrekodi na kusambaza video ya Mbunge mstaafu Prof Jay akiwa ICU wachukuliwe hatua

Its Morning, tupo kazini bado, hadi kieleweke

FA41E266-8DDE-4604-8D49-1B9DDFEB5514.jpeg
 
Mwenyewe unachokizungumza hata ukijui ila kwa umeendelea kubisha so bisha. Kwani kabla ya App Mange alikuwa anapost habari zake wapi? Ukilijibu hili ndio jibu la swali lako au labda ww Mange umemjua baada kuanzisha App?
Kabla ya hapo alikuwa anapost kwenye ukurasa wake wa Instagram. Haya sema wewe alisambaza kupitia nini? Naomba usimung'unye maneno wala kuzunguka.
 
Wabongo ndio wanamuendekeza kwa kuwa wateja wake wa umbea anaotutumia.
💯%.

Cha kushangaza sasa, sielewi kwa nini Samia alikutana naye.

Alijishushia sana heshima. Naamini Samia anaunga mkono upumbavu wa huyo binti.

La sivyo, huwezi ukakaruhusu kakusogelee karibu hivyo halafu ukaambie eti nimefurahi kukuona.
 
Hako kadada ni ka'coward sana. Kanachonivunia ni kuwapo marekani na kanajua wamarekani huwa wanatambuwa freedom of speech kama moja ya haki za raia wao.
Kwa kweli nashangaa kwa nini mpaka sasa hakuna mtu aliyekavunja mbavu!

Ila huwa nasema kuwa ‘disrespect has no expiry date’. Ipo siku katalipa gharama kubwa sana.

Labda kama kataendelea kujificha ficha huko kaliko.
 
Mwenye hiyo video aliyopost anisaidie PM tafadhali,sitoisambaza
 
Ndio maana tunaagiza mpaka toothpick,

Taifa ambalo mtu anapata umaarufu kwa kutukana.
 
Utakuta hako kajamaa ni moja ya waliokuwa wanamtukana Magu kwamba hajui kingereza.

Sasa hapa kwakuwa hakajaambulia kitu ndio kanajifanya kukipenda sana kiswahili.

Kamezoea english ya yes no, yes yah!

[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app

Huwa nawashangaa sana waafrika, hususani wabongo unakuta mtu anaongea kiingereza basi atajiona mtu wa pekee sana na kuwaona wasiojua ni wajinga na washamba flani hivi 😄 hii kitu huwa inanikera sana. Au unakuta mtu anaongea kiswahili(lugha kuu) alafu hapo hapo anaongezea na kiingereza ndani yake 😄 aise kiingereza kimevamiwa kamanda, wasukuma wanasema MASHKOLO MAGENI 😄
 
Hivi unadhani wote ni ma English speakers?

All in all, Mange ni janga kwa taifa
Acha kumpotosha! mimi ni Me pia na nina tabia hiyohiyo.
Kuna wakati natongoza mwanamke yeyote aliyejichanganya just because m a man and m single na akishakubali naanza vitibwi vya aina hiyo. It always doesn't end well hasa kwa Ke.

Mimi namshauri awe makini asije potezewa muda na maumivu juu.
I give him a time from tomorrow I m not going to search him in that point najua nitapata majibu yalio kamili kama ananipenda atanitafuta tena and if ikiwa forever bac alikuwa ana ni test.

Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app
Ha ha ha ha

Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app
 
Watanzania wenyewe ndio tunampa kichwa.. tunaendekeza sana umbea badala ya mambo ya msingi; mtu anaenda kulipia kwenye app yake ili tu apate udaku.. na hapo pengine Kuna ndugu zake wana shida mpaka kwapani yeye anampa mtu pesa kwa ujinga tu uliojaa kichwani mwake.. amkeni
 
Kabla hujapost video ya Jay, ulionywa sana na wadau wako wa Instagram kwamba kupost video ya mgonjwa si Jambo jema, lakini ukakaidi, ukapost.

Alipoku Waziri Mkuu Peter Pinda alisema kama umeonywa na umekaidi, upigwe TU.

Ndivyo ilivyokuwa kwako, umeonywa, umekaidi kichapo kiwe juu yako.

Kama asiye funzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu, na sis walimwengu wa taifa hili tumechoshwa na tabia zako za hovyo za kushambulia utu wa watu, kuingilia Uhuru wao wa faragha, kuwatukana, kuwadhalilisha na kuwatendea kila ubaya.

MangeKimambi, Mungu hayupo likizo, na amesikia kilio Cha muda mrefu. Machozi ya Watanzania wengi walio umizwa na wewe yamefika kwenye kiti cha enzi.

NI wakati wako sasa kutubu na kuomba msamaha.

Ivumayo haidumu, ngoma ikilia sana mwisho wake NI kupasuka
Alishafanya matukio mazito kuliko hilo mkuu....and yet bado akapiga picha na rais.....!!!

hakuna chochote atadhurika nacho juu ya hilo
 
Amekosea sana huyo binti sana tena sana lakini ndugu zangu tunapotaka kukemea jambo tukemee kwa nguvu zote tunapoona linadharirisha utu wa mtu bila kubagua wala kuchagua ,

Nakumbuka huyu binti aliwahi kumsema na kumtusi vibaya mno mwendazake ingawa nae kweli alikua na madhaifu yake lakini hakustahili yale ila kuna watu wengine hata humu humu walimuunga mkono sana sana ila leo hii hii kwa tabia zile zile alizoungwa mkono ameendelea nazo,

Basi kila mtu povu linatokota n.b mchelea mwana kulia huyo dada ipo siku ipo siku atalia na kusaga meno hata awe nyuma ya nani na hata wanaomtumia watamtosa ,tumekwishayaona hayo......

Wasalaaam
Sikiliza. Mange anayemlea ni Rais Samia. Nilishangaa sana alipokwenda USA akapewa mpaka chance ya kupiga picha na rais. Realy? Mtu aliyekuwa anamtumsi mtangulizi wako kila kukicha leo hii anamwamia amefurahi kupiga naye picha? Haya, sasa ameamua ''kuuza'' matusi yake na uchafu wote kwa watanzania. Malipo anapokea mpaka kwa simu. Kwa nini serikali haingilii kati kuhakikisha ananyimwa mambo kama hayo? NB: Kwa taarifa yako kuna tetesi yeye na Kigogo walikuwa wanapewa taarifa na huu huu utawala wa sasa na ndiyo maana amechiwa afanye atakavyo sasa hivi.
 
💯%.

Cha kushangaza sasa, sielewi kwa nini Samia alikutana naye.

Alijishushia sana heshima. Naamini Samia anaunga mkono upumbavu wa huyo binti.

La sivyo, huwezi ukakaruhusu kakusogelee karibu hivyo halafu ukaambie eti nimefurahi kukuona.
Yale yote aliyokuwa anasema wakati wa Magufuli source yake ilikuwa kwenye utawala wa sasa. Kina Makamba, Mzee wa Msoga na huyu naye alikuwemo
 
Back
Top Bottom