Wito: Waliomrekodi na kusambaza video ya Mbunge mstaafu Prof Jay akiwa ICU wachukuliwe hatua

Sawa, tulieni na kwa Josenph. aseme
 
Mume wake ni CIA wa marekan
 
Umeongea maneno yenye hekima sana mkuu,kama haya maneno hata yasikia basi akae mkao wa kula...
 
Dawa ni moja tu, acheni kulipia hiyo app ya umbea, hivi waTz mtaacha lini umbea lakini?!
kaka TZ wajinga ni wengi mno, ndiyo watazidi kujiunga humo ili waone zaidi, si ajabu watu zaidi ya 100,000 wanalipia kwa mwezi 1,000 - sasa kwa mwezi demu anatengeneza 100,000,000.

Sasa kumlipa mtu 5m kufanya hizo recording inakuwa kazi ndogo kwake.
 
Kwa kweli hili la mgonjwa a step too far,anajua Marekani confidentiality ya mgonjwa ni muhimu mtu aki breach anaadhibiwa,anaona Tanzania anaweza kufanya vyovyote na asifanywe lolote
Hello Becky....
 
Chadema ndio walimlee huyu binti wa kipare Leo kawashika tarko wote wamemkana na Jan kawatukana watu wa chadema na wa Twitter kuwa mka....firwee
 
Hiki kiingereza ulisomea ili kukitumia JF au mkishahamia Mars na Jupiter? 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Sadly Bado kuna watu wanalipia app yake hadi leo

Na wengine ni watu wazima na mvi zao

Dayymmn
 
Alikuwa CCM akachoma kadi kipindi cha jiwe na sasa karudi CCM, hajiwahi kuwa CDM.
Chadema ndio walimlee huyu binti wa kipare Leo kawashika tarko wote wamemkana na Jan kawatukana watu wa chadema na wa Twitter kuwa mka....firwee
 
Pale baadhi ya watu wakiguswa.

Wakitukanwa, na kudhalilishwa msiowapenda Ni sawa.

Ila wakiguswa mnaowapenda mnatoa laana, kuhukumu na kutabiri mabaya.

UNAFIKI umeota mizizi.kwa Waswahili nchi hii.
Nawewe semea unaowapenda.Unataka watu wengine wawasemee watu wako ilhali wewe upo itawezekana vip.Kamwe huwezi kumsemea kila mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…