Wito: Waliomrekodi na kusambaza video ya Mbunge mstaafu Prof Jay akiwa ICU wachukuliwe hatua

Wito: Waliomrekodi na kusambaza video ya Mbunge mstaafu Prof Jay akiwa ICU wachukuliwe hatua

Hakuna anayestahili kutukanwa kwa sababu yeyote ile. Kama unakumbukumbu yeyote ya tusi kutoka kwa Mange kwenda kwa Jiwe nikumbushe. Jiwe mwenyewe swala la 1.5 tr mpaka leo ni kizungumkuti ambacho kilimtoa mpaka CAG. Akauliza kuhusu manunuzi ya kivuko akakimbila kukiweka chini ya Jeshi ili mtu yeyote asihoji tena, unajua shirika la ndege liko chini ya ofisi gani? Na sababu za kuhamishiwa huko unazijua?
Kwa hayo machache mtu afanyayo hayo ana haki ya kuwanyooshea wengine kidole? Siungi mkono ufisadi lakini jua fisadi kuu alikuwa huyo mwendazake chini ya kivuli cha uzalendo. Angalia wateule wake wawili kama reference, Bashite na Saambaya.
Sawa, tulieni na kwa Josenph. aseme
 
Sijui ni kanani kale kanguchiro...maana hata marehemu kalikuwa hakamwogopi kalikuwa kanampiga vijembe na wala alikuwa harespond au kutake action kama kwa lissu.Nahisi ni kamtu kazito japo kamekauka nyama.Yaan mi samia namwona kwenye TV kenyewe kalishikana mkono na samia kuzurura kitaa.Aisee.,..no...there are must be something behind her wandugu
Mume wake ni CIA wa marekan
 
Kabla hujapost video ya Jay, ulionywa sana na wadau wako wa Instagram kwamba kupost video ya mgonjwa si Jambo jema, lakini ukakaidi, ukapost.

Alipoku Waziri Mkuu Peter Pinda alisema kama umeonywa na umekaidi, upigwe TU.

Ndivyo ilivyokuwa kwako, umeonywa, umekaidi kichapo kiwe juu yako.

Kama asiye funzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu, na sis walimwengu wa taifa hili tumechoshwa na tabia zako za hovyo za kushambulia utu wa watu, kuingilia Uhuru wao wa faragha, kuwatukana, kuwadhalilisha na kuwatendea kila ubaya.

MangeKimambi, Mungu hayupo likizo, na amesikia kilio Cha muda mrefu. Machozi ya Watanzania wengi walio umizwa na wewe yamefika kwenye kiti cha enzi.

NI wakati wako sasa kutubu na kuomba msamaha.

Ivumayo haidumu, ngoma ikilia sana mwisho wake NI kupasuka
Umeongea maneno yenye hekima sana mkuu,kama haya maneno hata yasikia basi akae mkao wa kula...
 
Dawa ni moja tu, acheni kulipia hiyo app ya umbea, hivi waTz mtaacha lini umbea lakini?!
kaka TZ wajinga ni wengi mno, ndiyo watazidi kujiunga humo ili waone zaidi, si ajabu watu zaidi ya 100,000 wanalipia kwa mwezi 1,000 - sasa kwa mwezi demu anatengeneza 100,000,000.

Sasa kumlipa mtu 5m kufanya hizo recording inakuwa kazi ndogo kwake.
 
Kwa kweli hili la mgonjwa a step too far,anajua Marekani confidentiality ya mgonjwa ni muhimu mtu aki breach anaadhibiwa,anaona Tanzania anaweza kufanya vyovyote na asifanywe lolote
Hello Becky....
 
Chadema ndio walimlee huyu binti wa kipare Leo kawashika tarko wote wamemkana na Jan kawatukana watu wa chadema na wa Twitter kuwa mka....firwee
 
I don’t dig cancel culture. But if there’s someone who deserves to be canceled, it’s her!

She is demented. And some people fear her. I don’t even know why.

How come no one has done her bad all these years? Maybe she isn’t out there like that for people to get their hands on her. Otherwise, it would have been on-site.

But then again we’re talking about Tanzanians here. One of the most, if not the most docile and meek people you will ever find on planet earth.

Defund her!
Hiki kiingereza ulisomea ili kukitumia JF au mkishahamia Mars na Jupiter? 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
I don’t dig cancel culture. But if there’s someone who deserves to be canceled, it’s her!

She is demented. And some people fear her. I don’t even know why.

How come no one has done her bad all these years? Maybe she isn’t out there like that for people to get their hands on her. Otherwise, it would have been on-site.

But then again we’re talking about Tanzanians here. One of the most, if not the most docile and meek people you will ever find on planet earth.

Defund her!
Sadly Bado kuna watu wanalipia app yake hadi leo

Na wengine ni watu wazima na mvi zao

Dayymmn
 
Alikuwa CCM akachoma kadi kipindi cha jiwe na sasa karudi CCM, hajiwahi kuwa CDM.
Chadema ndio walimlee huyu binti wa kipare Leo kawashika tarko wote wamemkana na Jan kawatukana watu wa chadema na wa Twitter kuwa mka....firwee
 
Pale baadhi ya watu wakiguswa.

Wakitukanwa, na kudhalilishwa msiowapenda Ni sawa.

Ila wakiguswa mnaowapenda mnatoa laana, kuhukumu na kutabiri mabaya.

UNAFIKI umeota mizizi.kwa Waswahili nchi hii.
Nawewe semea unaowapenda.Unataka watu wengine wawasemee watu wako ilhali wewe upo itawezekana vip.Kamwe huwezi kumsemea kila mtu.
 
Back
Top Bottom