Wito: Waliomrekodi na kusambaza video ya Mbunge mstaafu Prof Jay akiwa ICU wachukuliwe hatua

Wito: Waliomrekodi na kusambaza video ya Mbunge mstaafu Prof Jay akiwa ICU wachukuliwe hatua

Hiki kitendo kimefanyika si Cha kiungwana hata kidogo na kimefanywa na watu ambao huwezi kutegemea.

Inadaiwa kuwa madaktari na wauuguzi waliokua ICU wakimhudumia Prof J wamechukua video na kwenda kumuuzia yule dada ili aisambaze mtandaoni. Sio uungwana hata kidogo.

Serikali kupitia hiyo video mnaweza kuwajua waliofanya hivi na nashauri wachukuliwe hatua kali sana. Itumike namna ya kuwabaini waliofanya hivi najua mna mkono mrefu na hamshindwi.

Mtu yupo ICU amelazwa anapigania uhai wake, mnamhudumia kumbe mnarecord. Amewafanyiaa kitu gani kibaya huyu hadi mfikie huko?
inasikitisha sana mkuu sijui binadamu siku izi tumekuwa na roho ya ajabu aje,zaidi ya wanyama, ila malipo ni hapa hapa duniani na mungu is very fair ,if you kill by the sword you will die of it .
 
Kwani Mange kaanza kudhalilisha watu leo?

Je mliwahi kusema? Au kwa vile kaguswa mtu wetu?

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Mange kashasemwa sana na anaendelea kusemwa sema Serikali ikifungir ki app chake tu naona ndo itakua dawaa... Na hatuwezi acha kusema japo haisadiii kama serikali itazidi kuchekea na kuacha huu upuuzu uendelee
 
Mnamsema akigusa watu wenu tu? Ila akitukana viongozi msiowapenda mnashangilia?

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Ningekuwa mimi mange kitendo tu cha kupewa heshima ya kusalimiana na rais wa nchi kingenifanya niwe humble ili nisichafue file langu kwa rais tena rais mwenyewe humble kama mama samia dah ningekuwa mpole wala nisingeleta upoyoyo kama wa mange.
Ndio ujue Mange Hana akili,anaweza akegeuka siku moja na kumtukana huyo Raisi mpaka ashangae.....cheki anavyomtukana Wema na ndo alikuwaga kipenzi chake
 
Umejuaje ni madaktari na wauguzi ndio waliohusika?
Watu wanairuhusiwa kumuona Ni wawili tu kwa mujibu wa mke wake
Pia hao wakienda kumuona wanakuwa na madaktari na wauuguzi kwa pamoja, hivyo Ni ngumu mtu kurekodi. Ila madaktari au muuguzi anaweza kuingia hata peke yake na ndio naona kimefanyika maana kulikua hakuna watu kabisa ni Kama aliingia peke yake ili arekodi
Ningekuwekea hapa video ila sio poa
 
ICU anaingia mtu mmoja kutizama mgonjwa so labda huyo ndugu aloingia
Huwezi kuingia peke yako, unaingia ukiwa na daktari au muuguzi.
Na kwa ile video kunaonyesha alikua mtu peke yake
 
Sijui labda tumeumbwa tofauti ila kuna watu ni Wanyama sanaaa...!! Yani unawezaje kuuza utu wa mtu na kumdhalilisha mwenzio kisa vihela vya Mange...[emoji17][emoji17][emoji17][emoji17] Kazi ipo aisee
Video ukiiona itakuhuzunisha zaidi. Prof j anaonekana kabisa hana fahamu zaidi ya kuwa na mipiria tu kila sehemu ya mwili.
Inasikitisha sana
 
Ningekuwa mimi mange kitendo tu cha kupewa heshima ya kusalimiana na rais wa nchi kingenifanya niwe humble ili nisichafue file langu kwa rais tena rais mwenyewe humble kama mama samia dah ningekuwa mpole wala nisingeleta upoyoyo kama wa mange.
Mama Samia yupo humble???
 
Sijaongelea uhalali wa kuionyesha public. Nimehoji tu kwanini walaumiwe mauguzi wakati hata mtu mwingine aliyeenda kumuona anaweza kurekodi?
Watu wamesisitiza ni wauguzi
Wanafamilia tu Hao
Mange analipa dollar hadi 3000
 
DE52704E-2390-4AE8-9949-7A54A876F468.jpeg

😂😂😂😂😂😂😂. “ App itakufa siku nikifa..”, not a bad idea.
 
Acha masihara 2b [emoji2][emoji2][emoji2]
Ni kama watz mil2 hv sio bas si mchezo
Tena na zaidi siku hizi ukiingia mida ya saa mbili usiku hiyo app inakuwa busy kishenzi...unaambiwa " more than 2millions are busy with this app, so kwa wewe try later

( Ila Wabongo wanapenda umbea uwiiiii)[emoji848]
 
Back
Top Bottom