Mkuu kuna mtu alikuwa mkabila na mdini kuliko Jiwe? [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Liongo likubwa. Inawezekana haupo Tanzania. Kwa ufupi nikudokeze, Mama Samia anachukiwa sana tena sana tena hapendwi mno na makundi yenye ushawishi ya watanzania. Sababu kubwa ni viashiria vya kukandia misingi ya Dkt Magufuli. Mfano kuruhusu mgambo kupora bidhaa za machinga, na kuwarudisha kwenye nafasi wenye madoa ya uadilifu na pia kuonekana wazi wazi kuajiri watu nafasi za serikali kwa misingi ya dini
Nafasi zote nyeti nadhani unajua ni kabila gani walikuwa wanawekwa hapo. Emezungumzia makundi yenye ushawishi, naomba unitajie mawili katika hayo makundi unayosema yana ushawishi.
Angalizo, machinga siyo kundi lenye ushawishi bali ni kundi la masikini/wanyonge wanaopenda kuona tajiri akikomolewa kwani wanaamini umasikini wao unasababishwa na tajiri.