Hawa G-55 ni nyumbu wa kisiasa, unyumbu wa kisiasa ni tabia ya wanaopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga wa kuigiza kwa viongozi wao, (unafiki)Uongozi uliopita uliipatia fursa CCM kutumia propaganda zake chafu dhidi ya Chadema kwa kuiita mara chagadema, mara saccos na mara chama cha manyumbu!
Kwa namna hiyo chama cha majizi (CCM) kiliweza kuwashawishi baadhi ya wazalendo kusita kuhusishwa na Chadema, kuogopa kukiunga mkono na hata kukichangia.
Chadema ilihitajiwa izaliwe upya kwa umbo na sura hali ambavyo kwa miaka ishirini ilikuwa ni ile ile na watu wale wale walioridhika na kuitwa chama kikuu cha upinzani.
Kama kuna kitu mlichokosea mnaojiita G-55 ni ku-underestimate uwezo na ushawishi walio nao hawa jamaa wawili; Tundu Lissu na John Heche ndani ya Chadema!
Naomba samahani kwa kutumia hilo neno la Kiingereza, underestimate, kwa kukosa tafsiri sahihi katika Kiswahili na hivyo naomba msaada wa wanajukwaa, JF!
Kuna baadhi yetu tulifanya kautafiti kadogo na kungámua mara moja kiu ya wanaChadema kuhusu mustakhabali wa chama chao na kumuomba Mh. Mbowe apumzike.
Lahaulaa! tukajikuta ni kama tumegusa kisichogusika. Kilichopunguza hamasa ya hao wanaojiita sasa G-55 ni ile imani yao ya miaka ishirini labda kwa kuwa uliwapa fursa fulani.
Haiwezekani mbuyu uanguke hivi hivi! Hawakuwa na wasiwasi hivyo kauli, "Tunawasihi hata baada ya uchaguzi tuendelee na umoja wetu na tusiyumbishwe na matokeo!"
Baada ya uchaguzi uliofanyika mapema mwaka huu na kuingiza sura mpya katika uendeshaji wa Chadema, waliokuwa wakisita sasa wanaitikia mwito wa Chadema mpya.
Hii Chadema ya sasa ni ya watu na si Chadema itakayo kaa ikisubiri kutupiwa makombo au ruzuku kupitia wabunge wa kuchonga, Chadema sasa ni chama cha wananchi!
Uzuri wa yote ni kwamba mmeamua wenyewe kujiondoa na mimi nasisitiza...it is hightime na nawatakia heri katika safari yenu, ni haki yenu na hivyo nendeni kwa amani, bye!
G55 wapigwe mawe kila wanapoonekana hata kama LISSU nae ni tatizo kubwa , iko siku atajuta sana kumweka karibu mpuuzi LEMA kama mshsuri mkuu wa chama: SHAME.Uongozi uliopita uliipatia fursa CCM kutumia propaganda zake chafu dhidi ya Chadema kwa kuiita mara chagadema, mara saccos na mara chama cha manyumbu!
Kwa namna hiyo chama cha majizi (CCM) kiliweza kuwashawishi baadhi ya wazalendo kusita kuhusishwa na Chadema, kuogopa kukiunga mkono na hata kukichangia.
Chadema ilihitajiwa izaliwe upya kwa umbo na sura hali ambavyo kwa miaka ishirini ilikuwa ni ile ile na watu wale wale walioridhika na kuitwa chama kikuu cha upinzani.
Kama kuna kitu mlichokosea mnaojiita G-55 ni ku-underestimate uwezo na ushawishi walio nao hawa jamaa wawili; Tundu Lissu na John Heche ndani ya Chadema!
Naomba samahani kwa kutumia hilo neno la Kiingereza, underestimate, kwa kukosa tafsiri sahihi katika Kiswahili na hivyo naomba msaada wa wanajukwaa, JF!
Kuna baadhi yetu tulifanya kautafiti kadogo na kungámua mara moja kiu ya wanaChadema kuhusu mustakhabali wa chama chao na kumuomba Mh. Mbowe apumzike.
Lahaulaa! tukajikuta ni kama tumegusa kisichogusika. Kilichopunguza hamasa ya hao wanaojiita sasa G-55 ni ile imani yao ya miaka ishirini labda kwa kuwa uliwapa fursa fulani.
Haiwezekani mbuyu uanguke hivi hivi! Hawakuwa na wasiwasi hivyo kauli, "Tunawasihi hata baada ya uchaguzi tuendelee na umoja wetu na tusiyumbishwe na matokeo!"
Baada ya uchaguzi uliofanyika mapema mwaka huu na kuingiza sura mpya katika uendeshaji wa Chadema, waliokuwa wakisita sasa wanaitikia mwito wa Chadema mpya.
Hii Chadema ya sasa ni ya watu na si Chadema itakayo kaa ikisubiri kutupiwa makombo au ruzuku kupitia wabunge wa kuchonga, Chadema sasa ni chama cha wananchi!
Uzuri wa yote ni kwamba mmeamua wenyewe kujiondoa na mimi nasisitiza...it is hightime na nawatakia heri katika safari yenu, ni haki yenu na hivyo nendeni kwa amani, bye!
Nikama mbwa anayekuwa mkali akiwa nyumbani kwake, (kwa mwenye mbwa), ukimkuta njiani anakimbilia nyumbani ukimkuta nyumbani anachimba biti balaaG-55 WALISHACHEMSHA UKWELI WAMESHAPOTEANA HOJA ZAO HAZINA MASHIKO KABISA
Wasomi wenye PhD kama za Samia eh?G55 ni wasomi, hao wengine ni empty set
Wewe uwe unatumia akili ata kidogo lisu heche mnyika ni empty set?G55 ni wasomi, hao wengine ni empty set
Hii maneno imfikie Lucas,Tlatlaah,Chiembe,Choice na team yao yote,kuwa wasishindane na nguvu ya asili.Uongozi uliopita uliipatia fursa CCM kutumia propaganda zake chafu dhidi ya Chadema kwa kuiita mara chagadema, mara saccos na mara chama cha manyumbu!
Kwa namna hiyo chama cha majizi (CCM) kiliweza kuwashawishi baadhi ya wazalendo kusita kuhusishwa na Chadema, kuogopa kukiunga mkono na hata kukichangia.
Chadema ilihitajiwa izaliwe upya kwa umbo na sura hali ambavyo kwa miaka ishirini ilikuwa ni ile ile na watu wale wale walioridhika na kuitwa chama kikuu cha upinzani.
Kama kuna kitu mlichokosea mnaojiita G-55 ni ku-underestimate uwezo na ushawishi walio nao hawa jamaa wawili; Tundu Lissu na John Heche ndani ya Chadema!
Naomba samahani kwa kutumia hilo neno la Kiingereza, underestimate, kwa kukosa tafsiri sahihi katika Kiswahili na hivyo naomba msaada wa wanajukwaa, JF!
Kuna baadhi yetu tulifanya kautafiti kadogo na kungámua mara moja kiu ya wanaChadema kuhusu mustakhabali wa chama chao na kumuomba Mh. Mbowe apumzike.
Lahaulaa! tukajikuta ni kama tumegusa kisichogusika. Kilichopunguza hamasa ya hao wanaojiita sasa G-55 ni ile imani yao ya miaka ishirini labda kwa kuwa uliwapa fursa fulani.
Haiwezekani mbuyu uanguke hivi hivi! Hawakuwa na wasiwasi hivyo kauli, "Tunawasihi hata baada ya uchaguzi tuendelee na umoja wetu na tusiyumbishwe na matokeo!"
Baada ya uchaguzi uliofanyika mapema mwaka huu na kuingiza sura mpya katika uendeshaji wa Chadema, waliokuwa wakisita sasa wanaitikia mwito wa Chadema mpya.
Hii Chadema ya sasa ni ya watu na si Chadema itakayo kaa ikisubiri kutupiwa makombo au ruzuku kupitia wabunge wa kuchonga, Chadema sasa ni chama cha wananchi!
Uzuri wa yote ni kwamba mmeamua wenyewe kujiondoa na mimi nasisitiza...it is hightime na nawatakia heri katika safari yenu, ni haki yenu na hivyo nawaomba, nendeni kwa amani, bye!
Uongozi mpya usidharau G55 piaUongozi uliopita uliipatia fursa CCM kutumia propaganda zake chafu dhidi ya Chadema kwa kuiita mara chagadema, mara saccos na mara chama cha manyumbu!
Kwa namna hiyo chama cha majizi (CCM) kiliweza kuwashawishi baadhi ya wazalendo kusita kuhusishwa na Chadema, kuogopa kukiunga mkono na hata kukichangia.
Chadema ilihitajiwa izaliwe upya kwa umbo na sura hali ambavyo kwa miaka ishirini ilikuwa ni ile ile na watu wale wale walioridhika na kuitwa chama kikuu cha upinzani.
Kama kuna kitu mlichokosea mnaojiita G-55 ni ku-underestimate uwezo na ushawishi walio nao hawa jamaa wawili; Tundu Lissu na John Heche ndani ya Chadema!
Naomba samahani kwa kutumia hilo neno la Kiingereza, underestimate, kwa kukosa tafsiri sahihi katika Kiswahili na hivyo naomba msaada wa wanajukwaa, JF!
Kuna baadhi yetu tulifanya kautafiti kadogo na kungámua mara moja kiu ya wanaChadema kuhusu mustakhabali wa chama chao na kumuomba Mh. Mbowe apumzike.
Lahaulaa! tukajikuta ni kama tumegusa kisichogusika. Kilichopunguza hamasa ya hao wanaojiita sasa G-55 ni ile imani yao ya miaka ishirini labda kwa kuwa uliwapa fursa fulani.
Haiwezekani mbuyu uanguke hivi hivi! Hawakuwa na wasiwasi hivyo kauli, "Tunawasihi hata baada ya uchaguzi tuendelee na umoja wetu na tusiyumbishwe na matokeo!"
Baada ya uchaguzi uliofanyika mapema mwaka huu na kuingiza sura mpya katika uendeshaji wa Chadema, waliokuwa wakisita sasa wanaitikia mwito wa Chadema mpya.
Hii Chadema ya sasa ni ya watu na si Chadema itakayo kaa ikisubiri kutupiwa makombo au ruzuku kupitia wabunge wa kuchonga, Chadema sasa ni chama cha wananchi!
Uzuri wa yote ni kwamba mmeamua wenyewe kujiondoa na mimi nasisitiza...it is hightime na nawatakia heri katika safari yenu, ni haki yenu na hivyo nawaomba, nendeni kwa amani, bye!
Uko nyuma sana!Ushawishi gani basi wewe chadema ya 2007-2015 hukuiona
USSR
Mrema anausomi gani? Kigaila ana usomi gani? Au hujui maana ya msomi wewe.G55 ni wasomi, hao wengine ni empty set
Hapa nahesabu tu idadi ya watu wasiokubaliana nami na muda unavvyokwenda wanazidi kujitokeza wengi tu. Asante G-55 kwa huu utetezi mnaoupata na miongoni mwao wapo wanaojulikana kama chawa.Hawa G-55 ni nyumbu wa kisiasa, unyumbu wa kisiasa ni tabia ya wanaopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga wa kuigiza kwa viongozi wao, (unafiki)
Mungu anaitakasa CHADEMA anaiandaa kushika hatamu kwenye taifa hili, najisi yote inaondolewa.Chadema ya sasa Ina usafi wa Hali ya juu ingekuwa huru kufanya siasa kama miaka ya kabla 2015 ingekuwa noma sana
Chadema ya sasa lazima iogopwe kwani ni ya watu...hakuna tena cha wananchi kuomba haki, hapana haki haiombwi, inapiganiwa.iChadema ya sasa Ina usafi wa Hali ya juu ingekuwa huru kufanya siasa kama miaka ya kabla 2015 ingekuwa noma sana
Hapana, G-55 wasipigwe mawe bali wapuuzwe. Hivi sasa wanapiga kelele kwa sababu wanaamini bado wana ushawishi Chadema, hawana. Wako tu chini ya meza wakinenepa kwa makombo wanayotupiwa kutoka meza kuu ya wezi.G55 wapigwe mawe kila wanapoonekana hata kama LISSU nae ni tatizo kubwa , iko siku atajuta sana kumweka karibu mpuuzi LEMA kama mshsuri mkuu wa chama: SHAME.
Wasomi wa jalalani kwa Mwalimu wao KabugiG55 ni wasomi, hao wengine ni empty set