Wito wangu kwa G-55, msije mkadharau nguvu na ushawishi walio nao uongozi mpya wa CHADEMA mpya!

Wito wangu kwa G-55, msije mkadharau nguvu na ushawishi walio nao uongozi mpya wa CHADEMA mpya!

Mrema anausomi gani? Kigaila ana usomi gani? Au hujui maana ya msomi wewe.
Kitanda muhimbili ni 50000 kwa siku kwa kila mgonjwa mmoja. Hii ni kwa sababu viongozi wa ccm ni empty head na hawajali shida za wananchi badala yake wananunua mashangigi?
Bashite kijana aliyetokea kwenye familia fukara kabisa ana DEPO Ya mafuta kaipata wapi?
G55 wanahongwa wa kimbie chama kilichowalea na kuahidiwa vyeo vya kupewa kwingineko.
 
Najibu kichwa cha mada, kwa sababu mada yenyewe sijaisoma.

G-55 hawana uwezo wa kudharau nguvu na ushawishi wa uongozi mpya; kwa sababu wanaujuwa uwezo wa hawa viongozi.
G-55, kama wao wasingeweza kufanya lolote kuleta vurugu ndani ya chama, kwa sababu uwezo huo hawana.

Kwa hiyo, nadhani mada ingejikita katika kuwatahadhalisha hao walio nyuma ya hiyo G-55.
Hao wafadhili ndio wanapashwa kujua na wasibeze nguvu za viongozi wapya wa CHADEMA.
Na kwa kweli hilo wanalitambua, ndiyo maana tunayaona haya ya ajabu sana yanayotokea sasa.
 
Hapa nahesabu tu idadi ya watu wasiokubaliana nami na muda unavvyokwenda wanazidi kujitokeza wengi tu. Asante G-55 kwa huu utetezi mnaoupata na miongoni mwao wapo wanaojulikana kama chawa.

Mpaka sasa watetezi wakubwa ni kundi linalotoka kulee kulee! Watu kama chiembe, Tlaatlaah, ChoiceVariable, Lucas Mwashambwa, Mtoto wa Shule, USSR na chawa popote walipo wana uhusiano gani nanyi G-55?
Mimi Mtoto wa Shule Sina uhusiano wowote na G55. Ila nafurahi wanapoondoka Chadema kwani inaonesha kama Chadema HAIWEZI kumaliza migogoro midogomidogo ndani ya chama watawezaje ku deal na mambo makubwa ya nchi!?
 
Ahahahahaha! Kwahiyo TANU ilipobadilika ikawa Chadema sio? PUMBAVU!!
CCM siyo TANU wala siyo ASP. CCM ni Muungano wa ASP na TANU. Kwa ivo kimantiki hakuna kubadilika hapo.

Ndiyo maana miaka ya CCM huanza kuhesabiwa tokea mwaka 1977. Huko sijui mmejaa watu wa namna gani hadi mambo hata ya kuhusu chama chenu wenyewe hamyajui!
 
Mimi Mtoto wa Shule Sina uhusiano wowote na G55. Ila nafurahi wanapoondoka Chadema kwani inaonesha kama Chadema HAIWEZI kumaliza migogoro midogomidogo ndani ya chama watawezaje ku deal na mambo makubwa ya nchi!?
Tazama haka kapuuzi kasikojua hata maana ya mgogoro, mgogoro upi? Hivi viwavi viliyoanguliwa kwenye mikesha ya mwenge eti navyo vimemwagwa humu JF kutetea utekwaji, utesaji, upotezaji na mauaji ya Watanzania wenzo! Shida tupu.

Bila shaka hukuwepo nyakati joka lenyewe lilipodai linaendesha operation eti vua gamba? Naam, ni kweli joka huvua gamba lakini si binadamu. Binadamu huhitaji tu kuoga tena kwa sabauni na kutakata. Chadema mpya hiyo upende usipende.

G-55 wamekosea sana hadi hata kusoma alama za nyakati wamebugi stepu na kama huamini kaa kitako ushuhudie hiyo bulldozer ya Chadema mpya ikiwa kazini na ukiwa na akili hutathubutu kusimama mbele yake... ni heri uipishe ipite lakini upone.
 
Ni bahati mbaya sana siwajibu wajinga! 🙏🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom