- Thread starter
- #61
Ushawishi walio nao Heche na Lissu Mbowe haingii hata sentimita moja. Ni kama Chama kimezaliwa upya huku ushawishi huo ukichagizwa na madudu ya watawala.
View: https://x.com/i/status/1922917967907393658
Ehee, unasemaje MGOGOHALISI ? kuna chama kimoja tu cha upinzani, CHADEMA!