Uongozi uliopita uliipatia fursa CCM kutumia propaganda zake chafu dhidi ya Chadema kwa kuiita mara chagadema, mara saccos na mara chama cha manyumbu!
Kwa namna hiyo chama cha majizi (CCM) kiliweza kuwashawishi baadhi ya wazalendo kusita kuhusishwa na Chadema, kuogopa kukiunga mkono na hata kukichangia.
Chadema ilihitajiwa izaliwe upya kwa umbo na sura hali ambavyo kwa miaka ishirini ilikuwa ni ile ile na watu wale wale walioridhika na kuitwa chama kikuu cha upinzani.
Kama kuna kitu mlichokosea mnaojiita G-55 ni ku-underestimate uwezo na ushawishi walio nao hawa jamaa wawili; Tundu Lissu na John Heche ndani ya Chadema!
Naomba samahani kwa kutumia hilo neno la Kiingereza, underestimate, kwa kukosa tafsiri sahihi katika Kiswahili na hivyo naomba msaada wa wanajukwaa, JF!
Kuna baadhi yetu tulifanya kautafiti kadogo na kungámua mara moja kiu ya wanaChadema kuhusu mustakhabali wa chama chao na kumuomba Mh. Mbowe apumzike.
Lahaulaa! tukajikuta ni kama tumegusa kisichogusika. Kilichopunguza hamasa ya hao wanaojiita sasa G-55 ni ile imani yao ya miaka ishirini labda kwa kuwa uliwapa fursa fulani.
Haiwezekani mbuyu uanguke hivi hivi! Hawakuwa na wasiwasi hivyo kauli, "Tunawasihi hata baada ya uchaguzi tuendelee na umoja wetu na tusiyumbishwe na matokeo!"
Baada ya uchaguzi uliofanyika mapema mwaka huu na kuingiza sura mpya katika uendeshaji wa Chadema, waliokuwa wakisita sasa wanaitikia mwito wa Chadema mpya.
Hii Chadema ya sasa ni ya watu na si Chadema itakayo kaa ikisubiri kutupiwa makombo au ruzuku kupitia wabunge wa kuchonga, Chadema sasa ni chama cha wananchi!
Uzuri wa yote ni kwamba mmeamua wenyewe kujiondoa na mimi nasisitiza...it is hightime na nawatakia heri katika safari yenu, ni haki yenu na hivyo nawaomba, nendeni kwa amani, bye!
Nimecheka G55 ni wasomi 😂😂😂G55 ni wasomi, hao wengine ni empty set
Hauko peke yako ndugu yangu! Eti G-55 ni wasomi...ha ha haa! Tulipofikishwa na CCM, kuitwa msomi Tanzania ni matusi!Nimecheka G55 ni wasomi 😂😂😂
Wewe ni mjinga na huna akili!!, Hebu niambie hiyo chadema 2007-15 nani alikuwa injinia wa mambo yote mpka chadema kuwa kubwa kiasi hiki?. Au hujui tukusaidie ili muache siasa za kipuuzi na umavi wa ccm!!.Ushawishi gani basi wewe chadema ya 2007-2015 hukuiona
USSR
Na Mbowe ni Msomi? Hata msukuma ni Msomi🤭?G55 ni wasomi, hao wengine ni empty set
Acha kumfananisha bata na vitu vya kijinga NduguBata wewe..
sasa kuna shida gani kama akina musukuma na babu tale ndo wanawatungia sheria na kanuni za maishaG55 ni wasomi, hao wengine ni empty set
Yaani Mrema ni Msomi? Au mimi ndiyo sielewi maana ya wasomi? Toka lini Kigaila akawa MSomi?G55 ni wasomi, hao wengine ni empty set
G55 wameshajitoa CDM lakini bado mnawasakama?😡Uongozi uliopita uliipatia fursa CCM kutumia propaganda zake chafu dhidi ya Chadema kwa kuiita mara chagadema, mara saccos na mara chama cha manyumbu!
Kwa namna hiyo chama cha majizi (CCM) kiliweza kuwashawishi baadhi ya wazalendo kusita kuhusishwa na Chadema, kuogopa kukiunga mkono na hata kukichangia.
Chadema ilihitajiwa izaliwe upya kwa umbo na sura hali ambavyo kwa miaka ishirini ilikuwa ni ile ile na watu wale wale walioridhika na kuitwa chama kikuu cha upinzani.
Kama kuna kitu mlichokosea mnaojiita G-55 ni ku-underestimate uwezo na ushawishi walio nao hawa jamaa wawili; Tundu Lissu na John Heche ndani ya Chadema!
Naomba samahani kwa kutumia hilo neno la Kiingereza, underestimate, kwa kukosa tafsiri sahihi katika Kiswahili na hivyo naomba msaada wa wanajukwaa, JF!
Kuna baadhi yetu tulifanya kautafiti kadogo na kungámua mara moja kiu ya wanaChadema kuhusu mustakhabali wa chama chao na kumuomba Mh. Mbowe apumzike.
Lahaulaa! tukajikuta ni kama tumegusa kisichogusika. Kilichopunguza hamasa ya hao wanaojiita sasa G-55 ni ile imani yao ya miaka ishirini labda kwa kuwa uliwapa fursa fulani.
Haiwezekani mbuyu uanguke hivi hivi! Hawakuwa na wasiwasi hivyo kauli, "Tunawasihi hata baada ya uchaguzi tuendelee na umoja wetu na tusiyumbishwe na matokeo!"
Baada ya uchaguzi uliofanyika mapema mwaka huu na kuingiza sura mpya katika uendeshaji wa Chadema, waliokuwa wakisita sasa wanaitikia mwito wa Chadema mpya.
Hii Chadema ya sasa ni ya watu na si Chadema itakayo kaa ikisubiri kutupiwa makombo au ruzuku kupitia wabunge wa kuchonga, Chadema sasa ni chama cha wananchi!
Uzuri wa yote ni kwamba mmeamua wenyewe kujiondoa na mimi nasisitiza...it is hightime na nawatakia heri katika safari yenu, ni haki yenu na hivyo nawaomba, nendeni kwa amani, bye!
Acha upuuzi, soma uelewe kilichoandikwa...kwanza nani anamsakama mwingine?G55 wameshajitoa CDM lakini bado mnawasakama?😡
Mag3 said:Uzuri wa yote ni kwamba mmeamua wenyewe kujiondoa na mimi nasisitiza...it is hightime na nawatakia heri katika safari yenu, ni haki yenu na hivyo nawaomba, nendeni kwa amani, bye!
upuuzi ni Chama kutoshiriki uchaguzi mkuu, bila sababu ya msingi, thats why unakuwa na shambulio la matusi kwasababu ya hallucinationsAcha upuuzi, soma uelewe kilichoandikwa...kwanza nani anamsakama mwingine?
Nakuwekea nilivyomalizia mada yangu kwa kuwatakia heri waende salama huko waendako.
Bila shaka nikisema mwaka 2020 hakukuwa na uchaguzi wewe kama taahira utavimba kama mpapai. Na nikisema mwaka jana hakukuwa na uchaguzi unaweza ukavua nguo ukakimbia mtupu.upuuzi ni Chama kutoshiriki uchaguzi mkuu, bila sababu ya msingi, thats why unakuwa na shambulio la matusi kwasababu ya hallucinations
Bila shaka nikisema mwaka 2020 hakukuwa na uchaguzi wewe kama taahira utavimba kama mpapai. Na nikisema mwaka jana hakukuwa na uchaguzi unaweza ukavua nguo ukakimbia mtupu.
Kwanza kwa kujiita Dr VRM, hongera sana. Madaktari waliotamalaki nchini Tanzania hadi kwenye kata ndiyo kete ya CCM kujitangazia ushindi. Eti uchaguzi, hata sisimizi wana akili ya kuvuka mto.
Ushawishi walio nao Heche na Lissu Mbowe haingii hata sentimita moja. Ni kama Chama kimezaliwa upya huku ushawishi huo ukichagizwa na madudu ya watawala.Uongozi uliopita uliipatia fursa CCM kutumia propaganda zake chafu dhidi ya Chadema kwa kuiita mara chagadema, mara saccos na mara chama cha manyumbu!
Kwa namna hiyo chama cha majizi (CCM) kiliweza kuwashawishi baadhi ya wazalendo kusita kuhusishwa na Chadema, kuogopa kukiunga mkono na hata kukichangia.
Chadema ilihitajiwa izaliwe upya kwa umbo na sura hali ambavyo kwa miaka ishirini ilikuwa ni ile ile na watu wale wale walioridhika na kuitwa chama kikuu cha upinzani.
Kama kuna kitu mlichokosea mnaojiita G-55 ni ku-underestimate uwezo na ushawishi walio nao hawa jamaa wawili; Tundu Lissu na John Heche ndani ya Chadema!
Naomba samahani kwa kutumia hilo neno la Kiingereza, underestimate, kwa kukosa tafsiri sahihi katika Kiswahili na hivyo naomba msaada wa wanajukwaa, JF!
Kuna baadhi yetu tulifanya kautafiti kadogo na kungámua mara moja kiu ya wanaChadema kuhusu mustakhabali wa chama chao na kumuomba Mh. Mbowe apumzike.
Lahaulaa! tukajikuta ni kama tumegusa kisichogusika. Kilichopunguza hamasa ya hao wanaojiita sasa G-55 ni ile imani yao ya miaka ishirini labda kwa kuwa uliwapa fursa fulani.
Haiwezekani mbuyu uanguke hivi hivi! Hawakuwa na wasiwasi hivyo kauli, "Tunawasihi hata baada ya uchaguzi tuendelee na umoja wetu na tusiyumbishwe na matokeo!"
Baada ya uchaguzi uliofanyika mapema mwaka huu na kuingiza sura mpya katika uendeshaji wa Chadema, waliokuwa wakisita sasa wanaitikia mwito wa Chadema mpya.
Hii Chadema ya sasa ni ya watu na si Chadema itakayo kaa ikisubiri kutupiwa makombo au ruzuku kupitia wabunge wa kuchonga, Chadema sasa ni chama cha wananchi!
Uzuri wa yote ni kwamba mmeamua wenyewe kujiondoa na mimi nasisitiza...it is hightime na nawatakia heri katika safari yenu, ni haki yenu na hivyo nawaomba, nendeni kwa amani, bye!
c meondoka sasa tafuteni ushawishi nyie kama mnaona rahisiKiwango cha upumbavu na ujinga alichonacho Heche na Lissu ndiyo ushawishi😂😂😂
Hapana shaka wewe ni mmoja wao.G55 ni wasomi, hao wengine ni empty set