Ushawishi walio nao Heche na Lissu Mbowe haingii hata sentimita moja. Ni kama Chama kimezaliwa upya huku ushawishi huo ukichagizwa na madudu ya watawala.
wewe ndyo hujui Politics, uchaguzi utafanyika bila CDM and u have nothing to PREVENT the General Election,Bila shaka nikisema mwaka 2020 hakukuwa na uchaguzi wewe kama taahira utavimba kama mpapai. Na nikisema mwaka jana hakukuwa na uchaguzi unaweza ukavua nguo ukakimbia mtupu.
Kwanza kwa kujiita Dr VRM, hongera sana. Madaktari waliotamalaki nchini Tanzania hadi kwenye kata ndiyo kete ya CCM kujitangazia ushindi. Eti uchaguzi, hata sisimizi wana akili ya kuvuka mto.
..naona hii ni momentum ya CDM kwa uchaguzi wa 2030/31, ndyo karata iliyobaki
View: https://x.com/i/status/1922917967907393658
Ehee, unasemaje MGOGOHALISI ? kuna chama kimoja tu cha upinzani, CHADEMA!
wewe ndyo hujui Politics, uchaguzi utafanyika bila CDM and u have nothing to PREVENT the General Election,
wewe IQ yako ni single digit, huwezi comprehend kuwa CDM wame commit political suicide, as an imbecilic individual unaona G55 ni wasaliti π‘ , wakati hiyo ndyo democracy ambayo CDM inaipambania, i.e freedom of expression and association. πinakuwaje ni dhambi kuachana na CDM
NILISHAIONA HIYO π but it is too late, G55 wanaenda/wameenda vyama vitakavyo shiriki uchaguzi, nyie CDM masalia mtakuwa ni street political hustlers, mpaka 2030/31, nani smart hapo?
Baba wa taifa aliwahi kuwaita watu wanaotangatanga hovyo kwenye vyama, kama G-55, malaya wa kisiasa...yawezekana nyakati hizo ulikuwa hujazaliwa.NILISHAIONA HIYO π but it is too late, G55 wanaenda/wameenda vyama vitakavyo shiriki uchaguzi
Naomba niweke jambo moja sawa, sijawahi kuwa mwanachama wa ama TANU/CCM au Chadema ila kwangu shetani mkuu wa taifa hili lililojaa neema ni CCM.nyie CDM masalia mtakuwa ni street political hustlers, mpaka 2030/31, nani smart hapo?
Okay, your free to Choice your EVIL π/foes/adversaries/tormentor, carryon your grudges and suffer your enemies glorious moments.Baba wa taifa aliwahi kuwaita watu wanaotangatanga hovyo kwenye vyama, kama G-55, malaya wa kisiasa...yawezekana nyakati hizo ulikuwa hujazaliwa.
Naomba niweke jambo moja sawa, sijawahi kuwa mwanachama wa ama TANU/CCM au Chadema ila kwangu shetani mkuu wa taifa hili lililojaa neema ni CCM.
Nimejikuta naunga mkono Chadema baada ya kuridhika kuwa ndicho chama pekee cha siasa kitakachotuokoa mikononi mwa shetani huyu, CCM...a luta continua!
Kiingereza chako kinanikera sana, kwa nini usitumie tu Kiswahili? Kwa makuzi niliyopata toka utotoni najizuia kukupa haki yako. Lugha kama huijui kaa mbali nayo hasa kwenye hadhara hii ya JF, jioni njema.Okay, your free to Choice your EVIL π/foes/adversaries/tormentor, carryon for to suffer their glorious moments
kukukera kwa hiyo ngelipa ilikuwa ni makusudi kwa sababu uelewa wako ni hafifu, na nimefanikiwa kukukera kwa 200% π hapo hakuna mistake hata moja, ila we umezoea swangeli, hii si ngeli uliyofundishwa sekondari kwako. Akili iliyotawaliwa na "fikra beberu" (neocolonial brain) itataka ngeli iwe kama wanavyoongea mabwana zao wa ulayaπKiingereza chako kinanikera sana, kwa nini usitumie tu Kiswahili? Kwa makuzi niliyopata toka utotoni najizuia kukupa haki yako. Lugha kama huijui kaa mbali nayo hasa kwenye hadhara hii ya JF, jioni njema.
Ni kweli mjingamimiNi bahati mbaya sana siwajibu wajinga! ππππ
Ha ha haaa! Sawa Mtanzania halisi. Kwa kweli CCM imeleta balaa ndani ya taifa hili lililoneemeka kila kitu. Sasa ukute DR VRM ni bonge la bosi ofisini...ha ha haaa!Okay, your free to Choice your EVIL π/foes/adversaries/tormentor, carryon your grudges and suffer your enemies glorious moments.
.. ni njema kisaikolojia, pia usiwachokoze wajinga walio nafuu kuliko levelujingaNi kweli mjingamimi
Mimi ni non-partisan, pia sina dini, I am free to be a critic of anything I don't like, kuwa mfuasi wa mfumo uliowekwa na wachache na kuwaaminisha kuwa ni watetezi Ε΅a maisha yako, ni utumwa mbaya sana, I am selectively free to agree or disagree on any Idea/Ideology.Ha ha haaa! Sawa Mtanzania halisi. Kwa kweli CCM imeleta balaa ndani ya taifa hili lililoneemeka kila kitu. Sasa ukute DR VRM ni bonge la bosi ofisini...ha ha haaa!