Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,021
- 22,016
Anataka apate sifa za kijinga kwa ujinga wake.Mzazi nikiona unavyomkunyuga mtoto wangu,sijui kitakupata nini nikikukuta?Tabia za mtoto niachie mimi.Mwalimu kazi yako kumfundisha ajua aa,bee,chee na dee!Sikumleta shule umdunde.Kabisa aisee.... Nimeona yule mwalimu aliyewachapa wale watoto watukutu alivyoshambuliwa.
Kuna jambo serikali inapaswa kufanya, Kuna maagizo mengi yasiyo na tija katika elimu, mkurugenzi wa elimu ana maagizo, afisa elimu mkoa ana maagizo, afisa elimu wilaya ana maagizo. Kuna wilaya walimu wanaambiwa wafundushe Hadi saa kumi na mbili jioni, bila kujali walimu ni mama na baba wa familia wanahitaji kuhudumua familia zao.Mkuu Walimu nchi nzima tumesainishwa mikataba ya kufuta daraja F...
Serikali imetusainisha tufute F utadhani imeleta watoto waliofaulu kumbe imewavusha..
Sasa ukisema tuwaache tu si balaa...
Na nyie wazazi msinyamaze toeni machungu yenu walimu wajue hawatakiwi kujishughulisha na tabia ya mtoto.Hii vita tunawaachia walimu na wewe [emoji23]
Walimu ni punch bag... Kila anayejisikia anawapumzikia..Kuna jambo serikali inapaswa kufanya, Kuna maagizo mengi yasiyo na tija katika elimu, mkurugenzi wa elimu ana maagizo, afisa elimu mkoa ana maagizo, afisa elimu wilaya ana maagizo. Kuna wilaya walimu wanaambiwa wafundushe Hadi saa kumi na mbili jioni, bila kujali walimu ni mama na baba wa familia wanahitaji kuhudumua familia zao.
Muda wa kazi wa serikali umeongezwa lini, kwanini mi kada ya walimu tu. Tuache walimu wafanye kazi kwa mujibu wa taaluma zao na si matamko.
Hata hiyo serikali, imeingia madaraki kwa lengo la kupunguza umaskini na kuleta maendeleo. Ila tokea Uhuru mpaka leo, wanakata viuno tu, hakuna cha maana.Mkuu Walimu nchi nzima tumesainishwa mikataba ya kufuta daraja F...
Serikali imetusainisha tufute F utadhani imeleta watoto waliofaulu kumbe imewavusha..
Sasa ukisema tuwaache tu si balaa...
Shika kiboko chapa mwanafunzi uchukuliwe video uone moto wake. We jizime data tu uone matokeo yake. Hamjifunzi? Shauri yenu kaa na huo ujinga uone jinsi ambavyo hadi mkurugenzi wako, mkuu wa wilaya na mkoa watakavyokugeuka likitokea jambo.Sawa tumekuelewa
Ila ukiwa na zamu lazima ushike kiboko na lazima kiboko kitembee lasivyo utaifagia shule mwenyewe na baadhi ya wanafunz wachache au ratiba za parade na kuanza vipindi vitakuwa nje ya muda
Nadhani Kila anayetaka kung'ara ndani ya jamii na serikali anatakiwa amdhihaki mwalimu, amtishe mwalimu, amnyanyase mwalimu, bahati mbaya wengi wa wanyanyasiji wa walimu ni watu walio wahi kuwa walimu. Wanajua mazingira na ugunu wa kazi ya ualimu.Walimu ni punch bag... Kila anayejisikia anawapumzikia..
Shule sio sehemu ya kujifunza kuandika na kusoma tu.Si afadhali mimi mjinga kuliko wewe falah unayedhani una jukumu la kubadilisha tabia ya watoto wa wenzio. Bwege kabisa kilaza wewe....[emoji16] Nikuone unamchapa mtoto uone nitakavyokushukia. Nitakupiga nao mpaka maji uite mma.
Si kweli.Wafanye kinachowahusu waone kama kuna mtu atahangaika nao.Walimu ni punch bag... Kila anayejisikia anawapumzikia..
Kwani hayo yote ni lazima upige?Hauna methodologies za ualimu wako kama mbadala wa vipigo?Kapige watoto wako ujifurahishe na kuondoa stresses zako.Asipokuwa mtii weye kama mwalimu utapunjwa mshahara wako?Shule sio sehemu ya kujifunza kuandika na kusoma tu.
Shule wanajifunza
Usafi
Nidhamu
Kazi
Utii
Stadi mbalimbali.
Tabia njema
Tunu za Taifa.
Mwalimu anao wajibu wa kuhakikisha kwamba mtoto huyo anapata hayo kwa kiwango kile kile kinachotakiwa.
Kwa namna hio viboko havikwepeki. Maana sisi waafrika bila viboko hatuelewi kabisa.
Mnawalaumu walimu bure.
Na wanasiasa kwa kushadidia mambo kutaka kujichukulia sifa nyepesi nyepesi ndio wanaharibu kabjsa.
Kama shule Haina nidhamu hio sio shule tena ni kijiwe Cha wahuni na watukutu.
Watoto wanapokuwa watoro,watukutu wanunulieni ice cream au cake wale.siyo kuwachapa.kama hawaandiki wanunulieni burger,sambusa,kachori n.k watapenda shule.
Yote kwa yote,hapana kudunda watoto.Tumieni mbinu za kiualimu kufikia malengo.Hasira na gubu mziache kwa wenza wenu kama mnao.Nadhani Kila anayetaka kung'ara ndani ya jamii na serikali anatakiwa amdhihaki mwalimu, amtishe mwalimu, amnyanyase mwalimu, bahati mbaya wengi wa wanyanyasiji wa walimu ni watu walio wahi kuwa walimu. Wanajua mazingira na ugunu wa kazi ya ualimu.
Kwa mfano Ili mwanafunzi afaulu mwalimu afundishe, mwanafunzi asome kwa bidii, ndipo yapatikane matokeo. Unapomsainisha mwalimu kuondoka f, kwa mwanafunzi asiyejali elimu unatafuta Nini kwa mwalimu?
Mgonjwa aikipewa dawa za kumeza, halafu azitupe, halafu azidiwe au afe kosa la hospital au daktari ni nini hapo?
Siku akikuta mwanao analiwa kiboga atakuachia mwenyewe upambane nalo.Anataka apate sifa za kijinga kwa ujinga wake.Mzazi nikiona unavyomkunyuga mtoto wangu,sijui kitakupata nini nikikukuta?Tabia za mtoto niachie mimi.Mwalimu kazi yako kumfundisha ajua aa,bee,chee na dee!Sikumleta shule umdunde.