Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,844
- 9,916
Tunataka wawaache huru watanganyika wenzetu.Huenda wapo hai sehemu fulani wanaishi vema tu! Watajitokeza na kusema walikuwa wapi siku zote hizo, dunia ina mambo mengi yaliyositirika
Nadhani kama ni muda wamepata muda wakutosha, wasipimrudisha basi siku ya uzinduzi wa AFCON tuitimie kwa maandamano ya amani ya kumdai.
Pia tutafute ili kubaini wahusika wote ili nao washughulikiwe kwa sheria za jadi.
Wamemuua kweli? Kuna mdogowake ambaye ni mtoto wa baba yake mdogo anadai yuko hai na yuko Dodoma.
Soma hii mada utapata uhalisiaWamemuua kweli? Kuna mdogowake ambaye ni mtoto wa baba yake mdogo anadai yuko hai na yuko Dodoma.
Itakuwa amejificha ndani ya vee eytee, anakuchora na makasiriko yakoNadhani kama ni muda wamepata muda wakutosha, wasipimrudisha basi siku ya uzinduzi wa AFCON tuitimie kwa maandamano ya amani ya kumdai.
Pia tutafute ili kubaini wahusika wote ili nao washughulikiwe kwa sheria za jadi.