Wito: Watu Wenye Uwezo, Tujitokeze Tujitolee Kumsaidia TAL na Kuisaidia Chadema to Play Real Politics, No Reforms No Election ni Utopian Politics!.

Mimi sijui mambo mengi ya Siasa lakini kuwashauri wapinzani waingie kwenye uchaguzi Kwa taratibu zilizopo Sasa ni
uendawazimu , rejea uchaguzi wa serikali za mitaa
Upo sahihi kabisa Mzee Ngonyani..cha msingi Lissu et al, wapinge uchaguzi kwa NGUVU zote, kama;
Waende huko kwa Mabeberu wakasilibe haswa ,kikubwa wakawasilishe hoja na evidences zao vizuri..Uzuri wenzetu weupe wanaelewa haraka

Lakini wasisahau na ndani, lipigwe MOVEMENT la NGUVU na njia rahisi ni kuja na Media za CHAMA( Runinga , Radio, online TVs ziimarishwe) kama watawala watazuia TV na Radio waende hata nchi jirani ya Kenya, wanunue vipindi kule..uzuri Tv na Radio za Kenya , Tz zinafikika kirahisi
 
🤔🤔⚖️
 
🤔💭⚖️
 
Umeeleweka sana mkuu.
 
Ccm hawako tayari kwa hayo mabadiliko maana wanajia hiki sio kizazi chao, hivyo uhakika wa kushinda watakavyo haupo.
 
Mimi sijui mambo mengi ya Siasa lakini kuwashauri wapinzani waingie kwenye uchaguzi Kwa taratibu zilizopo Sasa ni
uendawazimu , rejea uchaguzi wa serikali za mitaa
Yah, ni vizuri wapumzike till 2030, life will go on
 
Si Wana mtaji wa wanachama watoe buku buku
Sorry, M-PESA cannot authorize this transaction since this transaction will exceed recipient's balance limit.

Hii ndio sms nilipotaka kuweka hela kwenye line ya NIMO. Hivyo kama ni hela bado inaiingia humo tena nyingi.
 
Hoja yangu ni kuwa mwenyekiti mpya aliyepatikana baada ya uchaguzi huo, hana historia ya upatanishi na kuwainganisha watu. Ni mtu wa kutuhumu, kulalamika na hana siri hivyo haaminiki. Hana uwezo wa kutafuta fedha zaidi ya michango ambayo sio sustainable. Simba na Yanga wana fan base kubwa lakini wanastruggle kufikikisha ml. 200 tu wanapoitisha michango.
 
Ilikuwaje jirani zetu wakapata katiba bora
 
Mkuu Meya Kwimbi Mayor Quimby ,watu kama wewe ni watu muhimu sana,hili bandiko linakuhusu!,unatakiwa kujitolea kusaidia,Asante kwa mchango huu,TAL anatakiwa asome hapa!
Jitokeze Saidia!

P
 
Kwa tume hii kwenda kupiga kura yatakaa moyo, Ni maigizo, watu wanaagizwa akipita mpinzani hawana kazi, nn hicho? Lissu na chadema Wako sahihi sana
 
Ni uwongo hoja ya no reform. No election ni ya chadema sio lissu binafsi
Mkuu Meya Kwimbi Mayor Quimby ,watu kama wewe ni watu muhimu sana,hili bandiko linakuhusu!,unatakiwa kujitolea kusaidia,Asante kwa mchango huu,TAL anatakiwa asome hapa!
Jitokeze Saidia!
 
Hivi unajua maana ya katiba? Mnakariri sana
 
Uchaguzi Gani mkuu? Huu wa kusimamiwa na watendaji kata? Kichekesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…