hii yakutupa laini mimi siikubali kwani ni aina ya utumwa wa kisaikolojia. Kama nilikuwa na mpenzi wangu wa zamani namwelieza hali halisi ilivyo na mpenzi wangu mpya najifunza ni jinsi gani (without cheating) ya kuishi naye. siwezi kutelekeza contacts zangu kwa hofu ya kuwasiliana na watu niliokuwa nawasiliana nao zamani. Tatizo ni tabia siyo simu.ndo maana wadada wengi wakishafunga ndoa tu wanatupa line, anaanza upya
Sawa, huwezi kujiziwia kuhisi wivu, but is it ok to display wivu? Mi sipendi kabisa!Wivu ni sehemu ya mapenzi.
Sawa, huwezi kujiziwia kuhisi wivu, but is it ok to display wivu? Mi sipendi kabisa!
Sawa, huwezi kujiziwia kuhisi wivu, but is it ok to display wivu? Mi sipendi kabisa!
Sawa, huwezi kujiziwia kuhisi wivu, but is it ok to display wivu? Mi sipendi kabisa!
RR unaposema hupendi wivu kuwa 'displayed' unamaanisha kwamba hutaki kabisa kujua kwamba ana wivu nawe? Maana asipoonyesha huwezi jua.
mi naona, nikisikia wivu bora nioneshe.
Yaah, acha ajisifu nasikia wivu
naona nikiubana, ntajikuta nimezimia au nimemrukia siku moja wakati hana hata kosa.
Bora niende na flow inavyoenda.
Kama nasikia wivu kwa wakati huo wala siufichi kama sisikii wivu, hewala.
Kwa kweli kama if he can just hide it ni bora zaidi. Ila kwa vile wengine wanataka waseme ili situation isirudi tena basi asubiri tukiwa just the two of us, na anambie kwa upole (Dear, I did not feel comfortable seeing you...). Sio kitoto kitoto, na sio kwa kuniuliza mswali (who is that, why did he say this etc).RR unaposema hupendi wivu kuwa 'displayed' unamaanisha kwamba hutaki kabisa kujua kwamba ana wivu nawe? Maana asipoonyesha huwezi jua.
Do YOU find it ok?Some people find it not okay, some people find it okay, and some people just don't care either way. Just do whichever you are comfortable with.