Tatizo ni kwamba huaminiki kwa mumeo so unawajibu wa kurudisha uaminifu kwake.Pili jali hisia zake usiyumbishe ndoa yako ati kisa simu,pia muda unaopiwa huenda si mwafaka,chukulia mpo kitandani mnavuta mahisia halafu mara unapiwa simu na mwanaume unapokea kwa kujikanyagakanyaga,hapo concentration ina loose,kitu kinalegeaaa.USHAURI: know how 2 manage ur phone ,jua kuwa umeolewa ucjilinganishe na vibinti,Mwisho jua kuwa wewe ni dhahabu kwenye madini mengi tofautitofauti ni lzm awe na wivu,hiyo ndo jela ya mapenzi na hicho ndo kifungo huru,vumilia dada yangu