WIVU: Maana, faida na hasara zake

WIVU: Maana, faida na hasara zake

ndo maana wadada wengi wakishafunga ndoa tu wanatupa line, anaanza upya
hii yakutupa laini mimi siikubali kwani ni aina ya utumwa wa kisaikolojia. Kama nilikuwa na mpenzi wangu wa zamani namwelieza hali halisi ilivyo na mpenzi wangu mpya najifunza ni jinsi gani (without cheating) ya kuishi naye. siwezi kutelekeza contacts zangu kwa hofu ya kuwasiliana na watu niliokuwa nawasiliana nao zamani. Tatizo ni tabia siyo simu.
 
Waambie hao wanaume wasikupigie tena simu! Period
 
Hizi kesi wewe Vaislay si nilishakwambia usiwe unazileta huku alaah.
 
Teh teh teh NDOA NDOANO HIYO, nae akipigiwa na wanawake mpe bongo la MBATA shingon au mgongon
 
Wanawake hawaaminiki yani unaweza ukampa vyote lkn mwisho wa siku ukaja kuona mambo anayo yafanya huwezi kuamini na ukimuuliza atakwambia shetani alimpitia yaani huyo dada ajibu hayo maswali hapo juuu labda ndo tutamwelewa vizuri !!
 
Tatizo ni kwamba huaminiki kwa mumeo so unawajibu wa kurudisha uaminifu kwake.Pili jali hisia zake usiyumbishe ndoa yako ati kisa simu,pia muda unaopiwa huenda si mwafaka,chukulia mpo kitandani mnavuta mahisia halafu mara unapiwa simu na mwanaume unapokea kwa kujikanyagakanyaga,hapo concentration ina loose,kitu kinalegeaaa.USHAURI: know how 2 manage ur phone ,jua kuwa umeolewa ucjilinganishe na vibinti,Mwisho jua kuwa wewe ni dhahabu kwenye madini mengi tofautitofauti ni lzm awe na wivu,hiyo ndo jela ya mapenzi na hicho ndo kifungo huru,vumilia dada yangu
 
Aisee hiyo ya kupewa mkong'onto......duh! Pole sana. Lakini na we haina haja ya kumaintain contacts zisizokuwa za msingi kwa jinsia tofauti!
 
Kweli kipipi kuna haja gani yakung,ang,ania contact ziasizokua na msingi wa aina yoyote kwako kama endelea na ung,ang,anizi na hayo macontact yasiyokua na msingi utaupata mwisho wako!!
 
...natambua watu wengi wanaamini kuwa Wivu ni chanzo cha kufarakana na kutokuelewana.sawaaaaa!!!
...pia Wivu unaimarisha uhusiano na kukufanya uhisi/ujue kuwa mwenza wako anakujali, inakufanya wewe mpenzi kuona namna gani unamrusha roho japokuwa mmekuwa pamoja kwa miaka mingi.
hayo ni maoni yangu kuhusu wivu, ww una yap?kama mfano unao pia itakua poa
 
Sawa, huwezi kujiziwia kuhisi wivu, but is it ok to display wivu? Mi sipendi kabisa!

RR unaposema hupendi wivu kuwa 'displayed' unamaanisha kwamba hutaki kabisa kujua kwamba ana wivu nawe? Maana asipoonyesha huwezi jua.
 
Sawa, huwezi kujiziwia kuhisi wivu, but is it ok to display wivu? Mi sipendi kabisa!

Some people find it not okay, some people find it okay, and some people just don't care either way. Just do whichever you are comfortable with.
 
kama ulipitia elimu ya sekondari ta Tanzania miaka hiyo
utakumbuka kitabu cha songs of Lawino and Ocol.

alijisemea lawino wivu unakushika bila hata ya wewe kujua.

Lazima utaonesha, wakati mwingine hata hutajua kama unaonesha wivu.
Unajua huwa ni vitu vidogo vidogo sana vinaonesha huyu mtu ana wivu.

Mwingike akipiga simu kitu cha kwanza 'uko wapi?'

Sawa, huwezi kujiziwia kuhisi wivu, but is it ok to display wivu? Mi sipendi kabisa!
 
mi naona, nikisikia wivu bora nioneshe.
Yaah, acha ajisifu nasikia wivu
naona nikiubana, ntajikuta nimezimia au nimemrukia siku moja wakati hana hata kosa.

Bora niende na flow inavyoenda.
Kama nasikia wivu kwa wakati huo wala siufichi kama sisikii wivu, hewala.

RR unaposema hupendi wivu kuwa 'displayed' unamaanisha kwamba hutaki kabisa kujua kwamba ana wivu nawe? Maana asipoonyesha huwezi jua.
 
mi naona, nikisikia wivu bora nioneshe.
Yaah, acha ajisifu nasikia wivu
naona nikiubana, ntajikuta nimezimia au nimemrukia siku moja wakati hana hata kosa.

Bora niende na flow inavyoenda.
Kama nasikia wivu kwa wakati huo wala siufichi kama sisikii wivu, hewala.

Ila tu usije ukazidisha mpaka ukaonekana hujiamini/humuamini kabisa. Maana ukifika huko badala ya kunogesha penzi utaishia kumkera mwenzio!!
 
RR unaposema hupendi wivu kuwa 'displayed' unamaanisha kwamba hutaki kabisa kujua kwamba ana wivu nawe? Maana asipoonyesha huwezi jua.
Kwa kweli kama if he can just hide it ni bora zaidi. Ila kwa vile wengine wanataka waseme ili situation isirudi tena basi asubiri tukiwa just the two of us, na anambie kwa upole (Dear, I did not feel comfortable seeing you...). Sio kitoto kitoto, na sio kwa kuniuliza mswali (who is that, why did he say this etc).

Some people find it not okay, some people find it okay, and some people just don't care either way. Just do whichever you are comfortable with.
Do YOU find it ok?
 
Back
Top Bottom