Wivu wa mapenzi ni janga kubwa mno, tuchague wa kumove nao sio hawa feminists! Au ma slay queen! Tiririka

Its true ila πŸ’° na power vitakubeba kama dume mf. Hata domo unaona jinsi anavyowatafuna na kuwatupa kama big G πŸ˜ƒ
mkuu, tukirejea kwenye situation ya huyo Dr.
jamaa ni mbinafsi sana
why?
kwasababu ukishakuwa baba kila unachofanya ni kuhusu watoto wako, watoto wako ndio center of your universe not your wife.

kama ni mimi ningetimua mke, ila kama serikali na mahakama kwa kushirikiana na mke zingenifirisi ningeruhusu open relationship na ninge upgrade pisi nyingine kali na nusu.
focus ingehamia kwa watoto na siyo boyfriends wa mke wangu.
 
It's true asee ila usije kuta hata hao watoto sio wake πŸ€”πŸ€”
 
vipi kama ukawa unapowe lkn kichwan una zero game?
 
Ni kweli sasa kama samia yupo bize na uraisi si ana jiipoozea kwa hao wanawake wengine au vipi πŸ˜”πŸ€£
Samia ana miaka zaidi 45. Mumewe atakuwa na ngapi? Kwa kuhisi atakuwa ana 50+
Kuna umri ukifika siyo wa kuhangaika na mapenzi. Una miaka 50 bado unatafuta kuoa, unaoa ili uvumbue nini wakati umri huo tayari una watoto na wamekutosha?
Hata kama mkeo yupo bize kiasi gani siyo kung'ang'ania kuoa. Mwanao yupo kwenye harakati za kuoa au kuolewa na wewe baba upo bize kuoa. Si ujinga
Ni muda wa kutulia na familia watoto.
Labda kama una pepo la ngono utaweza kuoa tena.
 
vipi kama ukawa unapowe lkn kichwan una zero game?
Pesa zitakubeba in some extent ila wengi wakiwa na power mapenzi huwa wanaya puuzia sana we fuatilia fresh hapo juu responsibilities zinakuwa nyingi
 
🀣🀣🀣🀣🀣 Komanya unachekesha aseee ila kweli wengine wana unlimited nguvu za kiume
 
It's true asee ila usije kuta hata hao watoto sio wake πŸ€”πŸ€”
KWA KWELI MKUU ,
sasa ndo afanye mauaji wa viumbe havina hatia?

ipo hivi mkuu
nice guys are the worst men in the world.
amefanya hayo kwasababu ni nice good man.
he was soo emotional like a white woman in a dramatic movie.
 
Ata Andrew Tate aliwa sema hilo nice guys ni danger zone kwenye ulimwengu wa sasa mkuuu daah maana wanakuwa weak men na beta males kitu ambacho si kizuri
 
Pesa zitakubeba in some extent ila wengi wakiwa na power mapenzi huwa wanaya puuzia sana we fuatilia fresh hapo juu responsibilities zinakuwa nyingi
Nikweli,
Alpha men wanatumia pesa kama baits.
 
Ata Andrew Tate aliwa sema hilo nice guys ni danger zone kwenye ulimwengu wa sasa mkuuu daah maana wanakuwa weak men na beta males kitu ambacho si kizuri
hata wakiwa viongozi tunajua nin wanafanyaga.
 
Ata Andrew Tate aliwa sema hilo nice guys ni danger zone kwenye ulimwengu wa sasa mkuuu daah maana wanakuwa weak men na beta males kitu ambacho si kizuri
huyo Dr. ni mjinga.
na kuna wajinga kama yeye wengi wataendelea kurudia kosa hilo hilo.
 
Huyo Dr. Tshube ni mjinga, mpumbavu na shetani mkubwa.
Kama aliumizwa na usaliti wa mkewe, kwanini awauwe na watoto?
 
Mmmmh lakini kwa wimbi hili inabidi watoto wawe 1st priority it's true kabisa ndoa ni uzamani
kwa mimi mkuu
kuona mtoto anaishi confortable na anapata kile anachostahili kwa uwezo wangu it's a big deal.
sasa wazo la kucheat linatoka wapi mkuu nipo busy na familia.

fanya hili jambo mkuu utakujakutoa ushuhuda hapa.
watoto mnawachukulia poa ila they are just tiny little human beings ,ukiwatreat kama watuwazima utagundua wako smart sana pengine kuliko wewe. talk to your boys like other men.
nilipagawa kukuta 17 yrs old boy anafuatilia video za kevin samuel wow!
 
Uzuri most of the women i know ni submissive ni percent ndogo sana nimeona wana mawazo kama yako maana wengi waume wancheat wana shut up tu na talaka inachukuliwa kila mtu anasepa zake
Hujatujua vizuri
 
Ndoa ndoa ndoa....

[emoji419][emoji419]Naweka kambi hapa.

Hii ni sababu yangu 9,784,444,444,000,0000,000,000,000

Ya kukataa ndoa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimeguswa sana πŸ₯²......wapumzike kwa amani baba na watoto wake..
Maumivu aliyokuwa anayapata huyo mwamba ni siri yake tu. Nahisi hajawaua watoto Ili kumuumiza mwanamke,ni aidha aliwapenda sana au tayari tatizo la afya ya akili lilikuwa nishamchukua mzima mzima.

"KATAA NDOA,LINDA AFYA YAKO YA AKILI"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…