Mrs Thabo Bester
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 3,145
- 7,921
Huamini kuwa tuna revenge au fix upande gani?Sasa hizi fix mwezetu🤣🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huamini kuwa tuna revenge au fix upande gani?Sasa hizi fix mwezetu🤣🤣🤣🤣
Sasa lengo la mahusiano ni nini kama sio ngono.We unajitoaga ufahamu, mijadala yako tunayoweza kujadili ni ya ngono sio mahusiano/ndoa
Hii revenge ya ukali kuliko simba hapana. Revenge ya kutoa mbususu kwa mwanaume mwengine nayo ni revenge kweli?Huamini kuwa tuna revenge au fix upande gani?
Kamuulize TshubeHii revenge ya ukali kuliko simba hapana. Revenge ya kutoa mbususu kwa mwanaume mwengine nayo ni revenge kweli?
Muone😅Hii revenge ya ukali kuliko simba hapana. Revenge ya kutoa mbususu kwa mwanaume mwengine nayo ni revenge kweli?
Huyo sii bwege. Yaani kwa karne hii unaumia mke wako kugegedwa na wanaume wengine mpaka kujiua.Kamuulize Tshube
Ndio ukweli sasa. Wee ukitoa mbususu sii mali yako mwenyewe umeamua kuenjoy life sasa shida iko wapiMuone😅
SafiInasikitisha,lakini haitoshi kusema inasikitisha kama hatukutafuta alternative.
Vijana oweni wanawake wanaopenda kujiweka simple wenyewe mliosoma mnaiita ”low profile”,wasioenda shule sana even la saba pita nae kikubwa ajue kusahihisha homeworks za wanao kingine usiowe kama hujamaliza ujinga,kuvua vua nguo wanawake na kuendekeza starehe zisizokuwa na mpango,kukaa bar mpaka 00:00 Am siyo maisha,unatakiwa ujue uliyemuacha nyumbani na wanao anatamani akuone unakula alichokupikia.
Story ya jamaa yeye ndiye alieanza ujinga,uzinzi ni jambo baya sana ktk ndoa hata hizi za kibongo zinavunjika sababu ya uzinzi (simlaumu kama binadamu) alipoona green light kwa mkewe imewaka anagawa uroda kama pipi mapaja hayafungi angetafuta namna ya kung'atuka kidogo kidogo ili maumivu yasiwe makali sana.
Ukichiti ukasamehewa basi tafuta demu mwingine yule uliyekamatwa naye muache bila ivyoo ukijifanya muaminifu Italia hadi useme pooo wanaoteseka kwenye mapenzi asilimia kubwa ni wale waaminifuNoma sanaa, back in the days nkiwa college nlikuaga na dem ambae nlimpenda sanaa, bc ktk pita pita za kiume nikam cheat na kitoto cha 1st yr af akajua, bana wee alinisamehe ila kisasi chake nlijutaa na mapenz yalikuja kufa kwa ugomv mkubwaa sana baada ya kugundua nae aliamua kumpa papa jamaa mwngne.
Asee skuiz mapenz sitak kbs kuyachkulia sirias.
Ujinga ndyo unakuuwa siyo mwanamkeMwanamke akiamua kukuua anakuua pole pole Ila unakufa na maumivu makali ya mda mrefu
Ujinga ni wako upumbavu ni wako kila binadamu akiamua kufanya kisasi utashangaa kikubwa ni we kung'amua matukio mapema wengi wetu tunalazimisha jambo kama upendo umeisha achana naye acha kuvumilia ujinga utakufa mapema upendo ukiisha kati yenu kinachofata ni mauaji hakuna kingineOgopa yaan atahakikisha hadi umekua maiti unanuka ndio anaridhika na roho yake, bila hivyo ni mwendo wa visasi hadi ufe kibudu
Siwezi kufa kwa ajili ya mwanamke labda nirogwe, lakini wivu itokanayo na mapenzi no.Mwanamke akiamua kukuua anakuua pole pole Ila unakufa na maumivu makali ya mda mrefu
King Kong III, tuishi kama wanaume omera, kuna tabia fulani mwanaume ukiwa nazo kwa mkeo lazima utaishia kama huyo Dr. Tshube anyuola au vpDr aliyataka mwenyewe kumbe na yeye alianza kucheat?
Huu mwandiko unaonyesha tayari kuna viumbe walishakudhuru kwenye mahusiano mkuu ndio maana una roho hiyo unayoionyesha hapa. Shukuru ulipita salama kwenye janga lako na uko hai mpaka sasa. Ugonjwa wa mapenzi ni hatari. Huwezi kuwa strong bila kupitia maumivu yake.Huyo sii bwege. Yaani kwa karne hii unaumia mke wako kugegedwa na wanaume wengine mpaka kujiua.
Amekosa mambo ya muhimu ya kufanya.
Kwanza mbususu ya mke isipo gegedwa na mwanaume mqengine inapaswa uniulize....mke wako hana mvuto kwa wanaume wengine?
Ogopa kiumbe anaitwa mwanamke, kukupoteza kwake sio kazi ngumu mkuuSiwezi kufa kwa ajili ya mwanamke labda nirogwe, lakini wivu itokanayo na mapenzi no.