The Worst
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 6,108
- 21,140
Inasikitisha,lakini haitoshi kusema inasikitisha kama hatukutafuta alternative.
Vijana oweni wanawake wanaopenda kujiweka simple wenyewe mliosoma mnaiita ”low profile”,wasioenda shule sana even la saba pita nae kikubwa ajue kusahihisha homeworks za wanao kingine usiowe kama hujamaliza ujinga,kuvua vua nguo hovyo wanawake na kuendekeza starehe zisizokuwa na mpango,kukaa bar mpaka 00:00 am maisha ya ndoa hayataki hivyo,unatakiwa ujue uliyemuacha nyumbani na wanao anatamani akuone unakula alichokupikia.
Story ya jamaa yeye ndiye alieanza ujinga,uzinzi ni jambo baya sana ktk ndoa hata hizi za kibongo zinavunjika sababu ya uzinzi (simlaumu kama binadamu) alipoona green light kwa mkewe imewaka anagawa uroda kama pipi mapaja hayafungi angetafuta namna ya kung'atuka kidogo kidogo ili maumivu yasiwe makali sana.