Wivu wa mapenzi ni janga kubwa mno, tuchague wa kumove nao sio hawa feminists! Au ma slay queen! Tiririka

Wivu wa mapenzi ni janga kubwa mno, tuchague wa kumove nao sio hawa feminists! Au ma slay queen! Tiririka

Ndio madhara ya chupi mkononi na kibolo dinda kwa wanandoa.Moyoni kwa mtu mbali .
 
Kamuulize Tshube
Huyo sii bwege. Yaani kwa karne hii unaumia mke wako kugegedwa na wanaume wengine mpaka kujiua.
Amekosa mambo ya muhimu ya kufanya.
Kwanza mbususu ya mke isipo gegedwa na mwanaume mqengine inapaswa uniulize....mke wako hana mvuto kwa wanaume wengine?
 
Inasikitisha,lakini haitoshi kusema inasikitisha kama hatukutafuta alternative.

Vijana oweni wanawake wanaopenda kujiweka simple wenyewe mliosoma mnaiita ”low profile”,wasioenda shule sana even la saba pita nae kikubwa ajue kusahihisha homeworks za wanao kingine usiowe kama hujamaliza ujinga,kuvua vua nguo wanawake na kuendekeza starehe zisizokuwa na mpango,kukaa bar mpaka 00:00 Am siyo maisha,unatakiwa ujue uliyemuacha nyumbani na wanao anatamani akuone unakula alichokupikia.

Story ya jamaa yeye ndiye alieanza ujinga,uzinzi ni jambo baya sana ktk ndoa hata hizi za kibongo zinavunjika sababu ya uzinzi (simlaumu kama binadamu) alipoona green light kwa mkewe imewaka anagawa uroda kama pipi mapaja hayafungi angetafuta namna ya kung'atuka kidogo kidogo ili maumivu yasiwe makali sana.
Safi
 
Noma sanaa, back in the days nkiwa college nlikuaga na dem ambae nlimpenda sanaa, bc ktk pita pita za kiume nikam cheat na kitoto cha 1st yr af akajua, bana wee alinisamehe ila kisasi chake nlijutaa na mapenz yalikuja kufa kwa ugomv mkubwaa sana baada ya kugundua nae aliamua kumpa papa jamaa mwngne.

Asee skuiz mapenz sitak kbs kuyachkulia sirias.
Ukichiti ukasamehewa basi tafuta demu mwingine yule uliyekamatwa naye muache bila ivyoo ukijifanya muaminifu Italia hadi useme pooo wanaoteseka kwenye mapenzi asilimia kubwa ni wale waaminifu
 
Ogopa yaan atahakikisha hadi umekua maiti unanuka ndio anaridhika na roho yake, bila hivyo ni mwendo wa visasi hadi ufe kibudu
Ujinga ni wako upumbavu ni wako kila binadamu akiamua kufanya kisasi utashangaa kikubwa ni we kung'amua matukio mapema wengi wetu tunalazimisha jambo kama upendo umeisha achana naye acha kuvumilia ujinga utakufa mapema upendo ukiisha kati yenu kinachofata ni mauaji hakuna kingine
 
Kikubwa wanaume tuelewe hizi mbususu ni zetu tuzile na pia hizi de liboloz ni zao na wao wazikule. Hakutakuwa na mambo ya mauaji
 
Huyo sii bwege. Yaani kwa karne hii unaumia mke wako kugegedwa na wanaume wengine mpaka kujiua.
Amekosa mambo ya muhimu ya kufanya.
Kwanza mbususu ya mke isipo gegedwa na mwanaume mqengine inapaswa uniulize....mke wako hana mvuto kwa wanaume wengine?
Huu mwandiko unaonyesha tayari kuna viumbe walishakudhuru kwenye mahusiano mkuu ndio maana una roho hiyo unayoionyesha hapa. Shukuru ulipita salama kwenye janga lako na uko hai mpaka sasa. Ugonjwa wa mapenzi ni hatari. Huwezi kuwa strong bila kupitia maumivu yake.
 
Back
Top Bottom