Uzuri wanawake nao siku hizi haturidhiki na mwanaume mmoja na milio mnatoa nyieHakuna mwanaume anayeriddhika na mwanamke mmoja. That's human nature
Funke hana akili. Angekuwa nazo asingeomba wayamalizie nyumbani baada Tobore nae kumwaga mboga.Funke yupo sahihi acha warudi Nigeria huyo mwanaume aendelee na umalaya wake.
Funke kichwani hakuna kitu. Kuna methali inasema "Kata pua uunge wajihi". Hii inamaanisha kitendo cha kujidhuru ili kumuumiza mtu mwingine, ambacho hatimaye humdhuru anayekifanya zaidi. Kutenda kwa hasira au kisasi kwa njia isiyo na uwiano na inayoharibu malengo yako mwenyeweFunke hana akili. Angekuwa nazo asingeomba wayamalizie nyumbani baada Tobore nae kumwaga mboga.
Mpo Uk mtu kauza kila kitu chake mkahamia huko, unakuja kupata stress kwa mwanamke aliyepo Nigeria.
Au siku hizi fimbo ya mbali inaua nyoka?😃
Mwanaume alikuwa Uingereza kwa hisani ya mkewe. Baada ya mke kupata visa, akamuombea mme Dependent Visa. Mwanaume kwa aina ya hii ya visa hawezi leta mtu UingerezaMbona mwanamke kwake haijakula siumesoma karudi Nigeria kazi ya kufanya kapata.
Huyo mwanaume ndiye mbinafsi kilichokua kinafata hapo nikumuita huyo mchepuko aje Uingereza.
Inaonekana walikua wanagombana kuhusu huyo mchepuko tokea wapo Nigeria ila mwanamke akawa anasamehe.
Sasa akataka kuendelea na mchepuko wake kwenye Visa ya mkewe.
Mwanamke kilichomkasirisha ni kuona mwenzake amemng'ang'ania mwanamke wa Nigeria wakati wao huko washatoka.
Mwanaume angetafuta mchepuko hapo Uingereza ungeona kama mke angeenda ubalozini