Wivu wa mchepuko unataka kunitoa roho

Wivu wa mchepuko unataka kunitoa roho

kiroka

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2018
Posts
358
Reaction score
1,887
Miaka mitatu nyuma nilipata semina ya kikazi Morogoro nikakutana na Mama mmoja mjane ambae ki ranki kazini ni senior kwangu yupo vizuri kiuchumi ana nyumba zake mbili na usafiri na ana mtoto mmoja wa kike ambae nae kaolewa.

Nikajikuta tumeingia kwenye mahusiano ya kimapenzi kwa vile huku nyumbani wife alikua amejifungua nilikua napata muda mwingi wa kuruka moro faster kupiga gemu kila weekend nakurud mjini chap bila mtu yeyote kujua kua nimeenda moro.

Tatizo linakuja wife karecova na maisha yamerudi kawaida ule muda wa kuruka moro faster kupiga gemu nakurud mjini haupo tena kutokana na majukumu ya kazi na familiar, nikilala nyumbani asubuhi nikimcheki mchepuko kwa salama unanuna eti umelala nyumbani kwako ukiwa unanyanduana saivi unanisalimia yaan tafrani.

Kuhusu garama za hotel mama anagaramia akanambia mshahara wangu kwa Sasa haufai kuspend hivo niutumie kujijenga na familiar yangu na kuhusu afya tulipima tupo saafi na kinachoniuma mchepuko ulikua na jamaa yake kabla hatujaanza mahusiano kwa utamu wa penzi lilivonoga akampiga chini jamaa yake.

Shida inakuja najiona kama mtumwa kwenye hili penzi nataka kutoka lakini nikiwaza fadhila zake na kila mwezi akipata mshahara alikua ananitumia nauli ya kwendea kazini kwangu na mengi mengi alonisaidia moyo unasita najikuta nipo dilemma cjui nishike ipi.
 
Ww ni mwanaume, siku nyingine uwe unafikiria mbele itakuaje, ona pesa za bure zinakutesa saivi.

Mpige chini mchepuko baki na mkeo.
Na hiyo tabia mbaya ya kumcheat mkeo kisa kakuzalia ni uzuzu.
 
Akutoe roho kabisa Na ukufe tukuzike hukoooo makaburi ya wapagani .yani unampa mchepuko nafasi ya kukuletea huo Wivu uliopitiliza😳😳😳ninawasiwasi mkeo unampitisha katika Hali ngumu kisa huyo mchepuko wako.ni upuuzi
 
Ukiona umefikia hatua hyo jua ushakua mtumwa wa huyo Mama kwa tamaa zako

Sasa mwambie awe anakuja yeye then mnaruka majoka kutwa nzima jion anarud kwake abood zipo mpka saa nne usiku mkishindwa mwambie akununulie na usafir huyo mumeo ili uwe unaenda Moro na kurud chap
 
Inabidi mbadili ratiba yeye ndio awe anakuja sasa
 
Kuwa na mchepuko kwa akili, ukiona mapenzi yamezidi piga chini tafuta mwingine. Ila michepuko inatusaidia sana wajuba
 
Muoe huyo mmama kama Imani yako inakuruhusu, ingawa wewe hapo unachofuata kwa jimama ni mtonyoo...
 
Miaka mitatu nyuma nilipata semina ya kikazi Morogoro nikakutana na Mama mmoja mjane ambae ki ranki kazini ni senior kwangu yupo vizuri kiuchumi ana nyumba zake mbili na usafiri na ana mtoto mmoja wa kike ambae nae kaolewa
Muoe mke wa pili mbona simple
 
Sema jamaa amejipalia makaa ya mawe eti anamuonea huruma mchepuko [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kiroka
 
kiroka
Nimekupata Mkuu
 
Back
Top Bottom