Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,009
- 60,629
- Thread starter
- #41
Hehehe kisa cha kupenda nyekundu?!?Huwezi amini, pamoja na maelezo yoooooooooooote hayo, mi nimepapenda zaidi hapo kwenye red.
:focus:
Ila sometimes kuridhika nako kunasaidia kuondokana na wivu usio wa lazima.
Back to topic..nakubaliana na wewe.Mara nyingi wivu hua unasababisha na kutoridhishwa na mambo binafsi..kitu ambacho ni kizuri kwasababu kinaweza kumfanya mtu ajitahidi kuongeza juhudi kwenye mambo yake