Wizara gani unadhani Waziri wake Ni Mzigo?

Ba

Bashungwa,Silinde,Byabato,Gwajima,Ndugulile,Mwigulu,Waitara,Molel ,na Jalalani,kwa ufupi mama ateue baraza jipya ili alilorithi walishaharibikiwa akili ya kufikiri ,badala ya jinsi gani ya kutatua matatizo wao bado wanafikra za kumtukuza binadamu
Mollel ndo kabisaaa hafai
 
Kiujumla tu ifikie wakati CCM itachie nchi yetu. Mimi naona hao Mawaziri na Serikali yote ya ccm ni majanga tu kwa mustakabari wa nchi yetu.
 
Ukiondoa ya utumishi na mambo ya nje kidogo wizara zingine zote ni mzigo kwa taifa
 
Bashungwa mpumbavu sana, kashindwa kumshauri Rais madhara ya kupostpone game ya Simba vs Yanga itakavyokuwa badala yake kaachia mechi iingie dosari

Na nawapongeza Yanga kwa uamuzi wa kiume, japo mi ni Simba
Yule ni hopeless kabisa
 
Maji na aridh wanakujua wanachokifanya.
Nitawashangaa sana watakao pendekeza hawa watoke ha ummy naona kaanza vizuri TAMISEMI

Tatizo watu wanataka maji yatoke hadi chumban kwake ndio aone waziri anapambana , tanzania ni kubwa sana hii na mahitaji ni makubwa sana kwa sehemu nyingi sana ya nchi ila ukitazama utendaji overall hao wapo vizur
 
Wizara ya bungeni inamzigo uliojitosheleza haugusiki.
 
Aanze kuondoka kwanza waziri mkuy kwa uongo wake uliotukuka, afauate ndungulile na hawara yake ndalichako.
 
Profess majalala..kazi kutumbua mi macho tu..ameonyesha namna gani uprofesa ni ujinga wa aina yake..wakupuuzwa kashusha dhamani ya ma prof tz.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…