Wizara gani unadhani Waziri wake Ni Mzigo?

Wizara ya Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar ni mzigo eti. Wanadai Kisiwa cha Mafia ni cha Sultani kwa hiyo anataka kiende Zanzibar. Kwa nini asiombe na Lamu na Tanga na Mikindani na Sofala?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…