KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
You're missing the point entirely.Yaani daktari akilipwa 50,000 kwa Siku au milion 1 kwa mwezi inaonekana ni pesa nyingi, daah tubafilikeni jamani...
Kuna taasisi za kimataifa daktari analipwa milion 108 kwa mwaka, part time ni 98 milion.... na hapo wanamwomba.
Embu tuheshimu tasnia za watu jamani
Sent from my SM-J415F using JamiiForums mobile app
Ni mTanzania gani huko vijijini mwenye uwezo wa kugharimia pesa kama hizo unazoandika hapo?
Swala si daktari kulipwa kiasi kikubwa cha pesa na mashirika ya kimataifa, ni waTanzania kutokuwa na uwezo wa kulipia gharama kama hizo wanapotafuta huduma za matibabu.