Yaani daktari akilipwa 50,000 kwa Siku au milion 1 kwa mwezi inaonekana ni pesa nyingi, daah tubafilikeni jamani...
Kuna taasisi za kimataifa daktari analipwa milion 108 kwa mwaka, part time ni 98 milion.... na hapo wanamwomba.
Embu tuheshimu tasnia za watu jamani
Sent from my SM-J415F using
JamiiForums mobile app