Wizara ya afya; Futeni gharama za kuchukua maiti mochwari katika hospitali za Serikali

Sina uwakika, ila nilisikia mgonjwa akiugua hospital hiyohiyo mpaka kifo huwa hawachaji, ila mwili wakuletwa mochwari kutoka sehemu nyingine wanachaji.
 
Hili Jambo Linahitaji Jicho La Huruma Sana Maana Iwapo Halijakukuta Laweza Mkuta Ndugu Jamaa Yako.

Zanzibar Upande Wa Usafiri Wameweza Sana
Iwapo Unasafirisha Mwili Kutoka/Kwenda Zanzibar Huwa Wenye Boti Hawatozi Pesa Yoyote Muhimu Uwe Na Document

Bila Shaka Serikali Ya Viwanda Itatuonea Huruma
 
Unamtoza nani? ikumbukwe unaowatoza sio hao waliolala kwenye hayo majoko
fu, nina chokisema ni kwamba kwasababu aliyekufa katoweka basi iangaliwe namna ya kumsamehe, tunawasamehe marehemu kwa niaba ya ndugu zake wapewe mwili Bure
Mkuu nimekufahamu vyema mada yako tatizo watanzania kwenye misiba huwa wagumu kutoa hela. Ila kwenye sherehe za harusi utaona ufahari wao wa kutoa hela. Kuna baadhi ya familia kuna wagonjwa lakini kuwapeleka matibabu wanasubiri msaada wa jamaa wakati wanamiliki gari mbili kwanini wasiuze moja na kumpeleka mgonjwa matibabu? Mimi sipendi watu wanaopenda bure ifike wakati serikali itoze fidia kila kitu hii bure inatulemaza sana.

Ndukiiiii🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Sina uwakika, ila nilisikia mgonjwa akiugua hospital hiyohiyo mpaka kifo huwa hawachaji, ila mwili wakuletwa mochwari kutoka sehemu nyingine wanachaji.
upo nchi gani? watu huwa wanadaiwa hadi 5m to 8m gharama ya matibabu na huduma za mochwari ndipo wachukue mwili
 
Mkuu nimekufahamu vyema mada yako tatizo watanzania kwenye misiba huwa wagumu kutoa hela. Ila kwenye sherehe za harusi utaona ufahari wao wa kutoa hela. Kuna baadhi ya familia kuna wagonjwa lakini kuwapeleka matibabu wanasubiri msaada wa jamaa wakati wanamiliki gari mbili kwanini wasiuze moja na kumpeleka mgonjwa matibabu? Mimi sipendi watu wanaopenda bure ifike wakati serikali itoze fidia kila kitu hii bure inatulemaza sana.

Ndukiiiii🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
una elimu level gan Mkuu!?
 
We we mapato ya serikali yatatoka wapi?
Kuna mpango watu wenye Comments nyingi JF kulipishwa Kwa comment unalipa 50, sembuse mortuary
Naunga mkono hii hoja mkuu...
Serikali ina vyanzo vingi vya mapato...ikiwemo madini, utalii na kadhalika...

Huduma ya afya ni huduma muhumu sana kwa jamii...na hata Yesu kristo alipokuwa duniani aliifanya bure kabisa...

Mi naamini hili linawezekana sana...kama Libya kipindi cha Gaddafi walisoma bure, maji bure, afya bure naduma zote muhimu bure....yote haja yalisababishwa na rasilimali ya mafuta tu...sembuse sisi wenye raailimali lukuki..

Naamini hili la huduma ya mochwari bure linawezekana...na nina imani na usukani wa Mheshimiwa Dokta John Pombe Joseph Magufuli.

ASANTENI
 
Ndugu zangu; kupanga ni kuchagua,
Nina imani na Ummy mwalimu atalifikisha hili kwenye cabinet!
angalieni uwezekano Wa kufuta gharama zote za
maiti kutoka katika hospitali za serikali! zikiwemo gharama za matibabu na huduma za mochwari!

Tuangalie namna nyingine ya kufidia pesa hizo!

Kama ELIMU Bure imewezekana sidhani kama hili litashindikana.

Zipo familia zinauguza kwa kuuza kila kitu hadi senti ya mwisho, bado mgonjwa anapofariki hupata wakati mgumu sana kukomboa maiti zao!

Viongozi Tuna dhamana ya kuwafariji wananchi hawa kwa kuwaondolea gharama!

UKISHINDWA KUTOA HUDUMA BORA BASI TOA JAPO HURUMA BORA!!!
Ni serikali ya wanyonge tu ndiyo inayoweza kuhudumia bure maiti vinginevyo tulipe tu, ndiyo kwanza gharama zimeongezwa kama MENU zinavyoonesha nje ya hospitali za serikali.
 
Ndugu zangu; kupanga ni kuchagua,
Nina imani na Ummy mwalimu atalifikisha hili kwenye cabinet!
angalieni uwezekano Wa kufuta gharama zote za
maiti kutoka katika hospitali za serikali! zikiwemo gharama za matibabu na huduma za mochwari!

Tuangalie namna nyingine ya kufidia pesa hizo!

Kama ELIMU Bure imewezekana sidhani kama hili litashindikana.

Zipo familia zinauguza kwa kuuza kila kitu hadi senti ya mwisho, bado mgonjwa anapofariki hupata wakati mgumu sana kukomboa maiti zao!

Viongozi Tuna dhamana ya kuwafariji wananchi hawa kwa kuwaondolea gharama!

UKISHINDWA KUTOA HUDUMA BORA BASI TOA JAPO HURUMA BORA!!!
Mkuu upo sawa kabisa,mimi nafikiria tu kuhusu ule wakati wa utawala wa awamu ya kwanza ilikuwa matibabu ni bure kwa nchi nzima.Kwa sasa tumepata maendeleo zaidi lakini upande wa matibabu imekuwa ni gharama kubwa mno hadi kupelekea wengine kupoteza maisha kwa kushindwa kumudu gharama.Ikiwa mgonjwa amefariki kwa kukosa gharama za matibabu relative wanaweza kulipia mwili wa marehemu?Nasikitika sana hawa watu waliopata elimu ya juu bure enzi za mwalimu wakikomaa kutukomoa wengine tusifikie walipo.
 
sijui kama wanayajua hayo maumivu
 
Ili mada iwe nzuri niombe mwenye uzoefu na gharama za kulaza maiti, kuiandaa kwa safari ni kiasi gani? Tukijua hiyo ndio tujadili sasa kama ni fair au sio fair. Je per day wanacharg sh ngp
 
Maiti anatozwa pesa !!!!!!!
Unachukua hari pesa za maiti !!!!!!
Mungu wangu !!!! Laana hii
 
Sina uwakika, ila nilisikia mgonjwa akiugua hospital hiyohiyo mpaka kifo huwa hawachaji, ila mwili wakuletwa mochwari kutoka sehemu nyingine wanachaji.
Siyo kweli, kuna gharama ya kuhifadhi mwili ndugu wanatakiwa walipie. Hata kama alikuwa anatibiwa hapohapo.
 
Ndugu zangu; kupanga ni kuchagua,
Nina imani na Ummy mwalimu atalifikisha hili kwenye cabinet!
angalieni uwezekano Wa kufuta gharama zote za
maiti kutoka katika hospitali za serikali! zikiwemo gharama za matibabu na huduma za mochwari!

Tuangalie namna nyingine ya kufidia pesa hizo!

Kama ELIMU Bure imewezekana sidhani kama hili litashindikana.

Zipo familia zinauguza kwa kuuza kila kitu hadi senti ya mwisho, bado mgonjwa anapofariki hupata wakati mgumu sana kukomboa maiti zao!

Viongozi Tuna dhamana ya kuwafariji wananchi hawa kwa kuwaondolea gharama!

UKISHINDWA KUTOA HUDUMA BORA BASI TOA JAPO HURUMA BORA!!!
Idea mbofu hii
 
Back
Top Bottom