- Thread starter
- #61
Matajili wa kiislam huwa wanajitahidi sana kujali maskiniNi kweli, ila mwenye boti ni bakhresa.
Hata ukiwa dodoma na umefiwa na unataka usafiri wa kuwasafirisha hadi makaburini, shabiby na champion hutoa mabasi buree kbs!
Serekali iwe na huruma kwa walipa kodi wake na iondoe kbs gharama za matibabu endapo mgonjwa amefariki, pamoja na gharama za motuary"
Sent using Redmi Y2