Wizara ya afya; Futeni gharama za kuchukua maiti mochwari katika hospitali za Serikali

Wizara ya afya; Futeni gharama za kuchukua maiti mochwari katika hospitali za Serikali

MARUFUKU HIYO IENDANE NA ODER KWA WAGANGA WAKUU WA HOSPITALI ILI KUEPUSHA MKANGANYIKO KATIKA UTEKELEZAJI
 
Mtoa mada amesema huduma za mochwari, kuna haja ya kumwangalia mtu tu na kujua huyu hawezi kulipa, acha kabisa mtoa mada amesema jambo kubwa kuna watu wanauza kila kitu hadi mwisho hawana kitu.
Waziri kalitolea ufafanuzi; lakini hofu ni kwamba wawekewe utaratibu unaoeleweka ili isije kuwa penye uzia penyeza lupia
 
Unamtoza nani? ikumbukwe unaowatoza sio hao waliolala kwenye hayo majoko
fu, nina chokisema ni kwamba kwasababu aliyekufa katoweka basi iangaliwe namna ya kumsamehe, tunawasamehe marehemu kwa niaba ya ndugu zake wapewe mwili Bure
😡
 
Waziri kalitolea ufafanuzi; lakini hofu ni kwamba wawekewe utaratibu unaoeleweka ili isije kuwa penye uzia penyeza lupia
Tufafanulie Huo Utaratibu Ili Tuwajuze Na Wengine Endapo Watapata Kadhia Hiyo
 
Tufafanulie Huo Utaratibu Ili Tuwajuze Na Wengine Endapo Watapata Kadhia Hiyo
Kama wameshindwa kabisa kulifuta deni hilo! Basi hosipitali kupitia kitengo cha malipo ambapo kuna wakala wa bank ya NMB na CRDB; Kuwekwe utaratibu rahisi wa benki hizo kumlipia maiti kwa mkopo wa haraka (Instant mortuary loan)
kuwepo na fomu maalum inayotakiwa kujazwa na wadhamini /ndugu wa maiti, wakiambatanisha vitambulisho na barua toka serikali ya mtaa wanakoishi iwatambue ili waahidi ni lini pesa ile italipwa kwenye mabenki hayo bila riba ( faida ya mabenki itoke kwenye hospitali kwa wao kulipia kwa punguzo la asilimia 20% ya deni ili wao kama benki watakapokuwa wanadai mdhamini atawalipa pesa yote waliyodaiwa hospitali)!!
WANAWEZA KUBORESHA KAMA ITAWAFAA
 
Maiti anatozwa pesa !!!!!!!
Unachukua hari pesa za maiti !!!!!!
Mungu wangu !!!! Laana hii
Mati haitozwi pesa ila waliompeleka hospital kutibiwa I'm anabidi walipe gharama za matibabu. Haya madeni yanatokea kwa sababu huduma hutolewa Kwanza kuokoa uhai bila kudai Kwanza fedha yamatibabu.
Inyaodaiwa ni fedha ya matibabu sio yamaiti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unafaham gharama ya Bima ya mtu binafsi asiye kuwa mtumishi wa serikali ni tsh ngapi? Kwa taarifa yako ni Around 1milion au zaidi ili kupewa kadi 4 kwa mwaka! Jiulize ni watanzania wangapi wanaweza lipa hiyo kila mwaka
Huduma za afya ni lazima ugharamie sasa ikiwa bure hospital zitashindwa kujiendesha sema wapunguze gharama au serikali itoe huduma ya bima kwa wananchi kwa gharama nafuu.
 
Kama wameshindwa kabisa kulifuta deni hilo! Basi hosipitali kupitia kitengo cha malipo ambapo kuna wakala wa bank ya NMB na CRDB; Kuwekwe utaratibu rahisi wa benki hizo kumlipia maiti kwa mkopo wa haraka (Instant mortuary loan)
kuwepo na fomu maalum inayotakiwa kujazwa na wadhamini /ndugu wa maiti, wakiambatanisha vitambulisho na barua toka serikali ya mtaa wanakoishi iwatambue ili waahidi ni lini pesa ile italipwa kwenye mabenki hayo bila riba ( faida ya mabenki itoke kwenye hospitali kwa wao kulipia kwa punguzo la asilimia 20% ya deni ili wao kama benki watakapokuwa wanadai mdhamini atawalipa pesa yote waliyodaiwa hospitali)!!
WANAWEZA KUBORESHA KAMA ITAWAFAA
Yaani kukopa bank tena? Hakuna bank itakubali kukopesha bila dhamana hapo labda unazungumzia wakopaji wenye dhamana za kuweka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani kukopa bank tena? Hakuna bank itakubali kukopesha bila dhamana hapo labda unazungumzia wakopaji wenye dhamana za kuweka

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo ni maoni yangu tu lakini wanaweza kuyaboresha! Lakini haishindikani kitu; Mbona TALA waliweza kukopesha bila kuonana na bila Dhamana?

Siamini kama haiwezekani
 
Ni kweli, ila mwenye boti ni bakhresa.

Hata ukiwa dodoma na umefiwa na unataka usafiri wa kuwasafirisha hadi makaburini, shabiby na champion hutoa mabasi buree kbs!

Serekali iwe na huruma kwa walipa kodi wake na iondoe kbs gharama za matibabu endapo mgonjwa amefariki, pamoja na gharama za motuary"

Hili Jambo Linahitaji Jicho La Huruma Sana Maana Iwapo Halijakukuta Laweza Mkuta Ndugu Jamaa Yako.

Zanzibar Upande Wa Usafiri Wameweza Sana
Iwapo Unasafirisha Mwili Kutoka/Kwenda Zanzibar Huwa Wenye Boti Hawatozi Pesa Yoyote Muhimu Uwe Na Document

Bila Shaka Serikali Ya Viwanda Itatuonea Huruma

Sent using Redmi Y2
 
Hadi Sasa nikitazama kwa jicho la Tatu, naona Kuna vifo vya wajawazito wengi vinakuja,

Hali ya maisha ni ngumu, Halafu gharama za kujifungulia zimeanzishwa, Tena nyingi kuliko maelezo, 70000

Kama ni kweli, serikali ifikirie upya hili swala, watawaua Dada zetu na mama zetu wasioweza hata kumiliki milo miwili per day,

Hilo ni moja; pili tunadadili wakishakufa tayali hizo pesa nani alipe?
 
Ni kweli, ila mwenye boti ni bakhresa.

Hata ukiwa dodoma na umefiwa na unataka usafiri wa kuwasafirisha hadi makaburini, shabiby na champion hutoa mabasi buree kbs!

Serekali iwe na huruma kwa walipa kodi wake na iondoe kbs gharama za matibabu endapo mgonjwa amefariki, pamoja na gharama za motuary"

Sent using Redmi Y2
Oohhhhh
 
Back
Top Bottom