Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwitikio ni mkubwa.... Watanzania wakikwambia tupo nyuma yako kuwa makini sana.Wapo watakaopinga hii utadhani wao wana data zao, hatua nzuri, naamini hiyo idadi itakuwa kama catalyst ya kuwashawishi wengine nao wakapime.
Siku hizi hawapiki tena data au hizi data zinafurahisha?Wapo watakaopinga hii utadhani wao wana data zao, hatua nzuri, naamini hiyo idadi itakuwa kama catalyst ya kuwashawishi wengine nao wakachanje tuondokane na imani za kishirikina.
Umeandika vizuri sana...[emoji1666]Uandishi gani huu umejaa bold nyingi hivyo?
Siku 11, wamechanja watu 105,000, maana yake kwa siku wanachanja watu 9,535. Kwa mikoa 26 maana yake kila mkoa kwa siku unachanja watu 367. Hilo la kwanza.
La pili, kama kwa siku wanachanja wastani wa watu 9,535, iwao watanzania 50% watatakiwa kuchanjwa, yaani watu milioni 30 itahitajika siku 3,146 ama miaka 9 kuwachanja wote. Hilo halitoshi bado birth rate ni kubwa sana Tanzania maana yake hii chanjo haitaisha, itakua ni kuchanja for life.
Tukumbuke kabla ya kumaliza hata 1% ya watanzania, yaani 600,000 imeanza chanjo nyingine inaitwa booster shot ya kuipa nguvu hii chanjo iliyopo. Kwa maana kwamba kamaumechanjwa, utahitaji kuchanjwa tena hiyo booster vaccine.
Kwaa hiyo iwapo tutahitai kumaliza hizi zilizopo halafu tuanze booster ama tunaenda nazo concurrently itakua shughuli pevu.
Mimi nitakua wa mwisho kuchanja.
Ni Haki yako kuamini unachokiamini, Ila nionavyo taifa letu Lina wasomi wengi Ila wengi hawajaelimika, mfano ni huyu mfuasi mtiifu wa Mwendazake.Hahahaha eti mwitikio mkubwa
Kwenye uandishi haitakiwi kuweka bold nyingi, huu ni uandishi hafifu sana!!
Inatakiwa watu wakachanjwe, nothing more! nothing less!Du! Kwa hiyo Kuna approximately chanjo 900,000 zimebaki hadi sasa! Na siku zinavyoenda mwitikio unapungua, mzigo utaisha kweli?
Na hao waliochanjwa ni wale ambao waliisubiria chanjo kwa muda mrefu na kwa hamu zote, kifupi ni wale viherehereUandishi gani huu umejaa bold nyingi hivyo?
Siku 11, wamechanja watu 105,000, maana yake kwa siku wanachanja watu 9,535. Kwa mikoa 26 maana yake kila mkoa kwa siku unachanja watu 367. Hilo la kwanza.
La pili, kama kwa siku wanachanja wastani wa watu 9,535, iwao watanzania 50% watatakiwa kuchanjwa, yaani watu milioni 30 itahitajika siku 3,146 ama miaka 9 kuwachanja wote. Hilo halitoshi bado birth rate ni kubwa sana Tanzania maana yake hii chanjo haitaisha, itakua ni kuchanja for life.
Tukumbuke kabla ya kumaliza hata 1% ya watanzania, yaani 600,000 imeanza chanjo nyingine inaitwa booster shot ya kuipa nguvu hii chanjo iliyopo. Kwa maana kwamba kamaumechanjwa, utahitaji kuchanjwa tena hiyo booster vaccine.
Kwaa hiyo iwapo tutahitai kumaliza hizi zilizopo halafu tuanze booster ama tunaenda nazo concurrently itakua shughuli pevu.
Mimi nitakua wa mwisho kuchanja.
hao waliochanjwa ni wale ambao waliisubiria chanjo kwa muda mrefu na kwa hamu zote, kifupi ni wale viherehereNi mwanzo mzuri ,zoezi limeanza rasmi tarehe 3 August 2021.Tarehe 28July 2021 ilikuwa uzinduzi tu na tarehe 2August kwa wake wa viongozi.Kwa hiyo ni siku 4
Wakusanye ndugu zako mkachanjweIn
Inatakiwa watu wakachanjwe, nothing more! nothing less!
Woga tupa kulee 😂😂Ha ha ha. Wakileta ujinga wa ulazima wa chanjo ninampa milioni mbili tatu daktari na cheti napata Ila kuchanjwa nevaaaa
Mimi ntakuwa wa mwisho ukitoka weweUandishi gani huu umejaa bold nyingi hivyo?